Jihadhari na hii namba

Jihadhari na hii namba

Chinga boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
412
Reaction score
103
Hi wadau.Jana nilipigiwa cm kwa no Hii 0784610897.Huyu mtu alionyesha kunifahamu kwa jina na mahali nilipo ingawa sasa sipo hapo at that time nilikuwepo Nzega. Kwa ufupi alisema anaitwa Patrick Shija yupo kishapu kwa kilimo kwanza na deal anayotumia ni ununuzi wa majembe ya treka pale suma Jkt.sijuwi hizi no na majina na mahali ulipo wanatoa wapi.
 
Hao ni matapeli, wanaweza wakakwambia wameagizwa na Waziri Mkuu, hiyo namba ni hatar
 
Hi wadau.Jana nilipigiwa cm kwa no Hii 0784610897.Huyu mtu alionyesha kunifahamu kwa jina na mahali nilipo ingawa sasa sipo hapo at that time nilikuwepo Nzega. Kwa ufupi alisema anaitwa Patrick Shija yupo kishapu kwa kilimo kwanza na deal anayotumia ni ununuzi wa majembe ya treka pale suma Jkt.sijuwi hizi no na majina na mahali ulipo wanatoa wapi.

Sijakuelewa hata unaongea nn
 
Na Nyingine Ni HII 0717124469
 
Tujihadhari na hiyo namba kwani ina tatizo gani?? Fafanua kuliko kutuacha njia panda
 
Hao ni mataapeli siku hizi wana mbinu nyingi sana,ila elewa tapeli hufanyia anaowafahamu atakuwa ni mtu anakufahamu sana,
 
Weka hitimisho la hadhari yako
 
Kwa nini nchi hii haina intelligencia kwani wahalifu hutenda yao na kuishia bila kukamatwa wala kuchukuliwa hatua yoyote.Tumepoteza mwelekeo. Namkumbuka sana Nyerere
 
Katumia jina la Patrick na kwako? Ha ha haaa, niliwazingua na timu yake ya mzungu fake! Dawa yao ni kuwachoma moto cku wakiingia laini.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mtaelewana wenyewe,maana kuna makabila yakiwa yanajadili jambo we yatizame tu,maana huelewi hatamoja.
 
Attachments

  • a.jpg
    a.jpg
    7.3 KB · Views: 533
Hao jamaa wameshamliza mdogo wangu tsh laki tatu miezi miwili iliyopita,na ukipiga simu tigo na airtel hawana msaada.Jamaa wanajiamini kuliko maelezo kwa kujitamba kuwa wameshaliza watu kibao.
 
Ishu si hizo namba zao sababu wanabadilisha namba kila dakika muhimu ni kujua kua jamaa ni matapeli ukipiwa simu wakakuambia habari za.kilimo kwanza achana na hao watu kabisa la sivyo utarudi hapa jf kulia
 
Back
Top Bottom