Jifunzeni kwa Idd Amin Dada

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Huwa naangalia hii video hata Mara 3 kwa siku sipati jibu , naishia kupata wasiwasi maana siamini. Huyu jamaa alikua na maamuzi ya kijasirini hata kuamuru askari kuwapiga risasi wale wasio tii. speech yake IPO kikamanda kabisa. RIP idd amin Dada. Waganda hawata kusasahu japo hukuwa mwansiasa mzuri.
 
Huyo alikuwa Dikteta kama madikteta wengine.
Alitawala kwa Upanga na alikufa kwa Upanga.Hiyo ndio sheria ya Madikteta wote duniani.
 
Huyo alikuwa Dikteta kama madikteta wengine.
Alitawala kwa Upanga na alikufa kwa Upanga.Hiyo ndio sheria ya Madikteta wote duniani.
Alifia uhamishoni huko saudi arabia.Je, kifo chake kilitokana na kuuwawa? Hebu nijulishe vizuri maana ya usemi uliotumia wa:"Alitawala kwa upanga na alikufa kwa upanga"
 
Huwa naangalia hii video hata Mara 3 kwa siku sipati jibu , naishia kupata wasiwasi maana siamini. Huyu jamaa alikua na maamuzi ya kijasirini hata kuamuru askari kuwapiga risasi wale wasio tii. speech yake IPO kikamanda kabisa. RIP idd amin Dada. Waganda hawata kusasahu japo hukuwa mwansiasa mzuri.

unenikumbusha hii documentary nitaipitia yote tena.

Nacheka sana hapo anavyoelekeza namna ya kumshuhulikia spy atakayekamatwa akiwa anaspy.
 
ddf7a4bbc1d3c48a9b3fe9a5b776ad3b.jpg

3359fce603d5b00da75000316fa56b29.jpg

74d23081663185e551b9ee2fb41f330b.jpg
 
Ndio,
Mfano mzuri ni Muammar Mohammed Abu Minyar Gaddafi aliwafanyia Libya vitu vingi vizuri,
Pia alikuwa Rafiki Mkubwa wa Idd Amin Dada.
MNA aminishwa tuu, alicho waibia walibya ni kikubwa kuliko alicho wafanyia, Libya ni nchi tajiri sana.
 
MNA aminishwa tuu, alicho waibia walibya ni kikubwa kuliko alicho wafanyia, Libya ni nchi tajiri sana.
Utajiri wa Libya una maana gani kwa Walibya hivi sasa ukilinganisha na wakati wa Ghadafi?? Hata kama aliwaibia, aliwalisha.
 
Tafuteni hotuba za Adolph Hitler. Nguvu alizokuwa anatumia kuongea kama vile mkulima anayepiga jembe. Jambo dogo anakiongelea kwa nguvu nyingi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom