Jifunzeni basi kuficha hisia

Jifunzeni basi kuficha hisia

....mueleze kabisa....sasa hivi nikisikia notification kwenye cm, lazima nijiweke vizuri...ninabrashi viatu kbisaa....kusoma coments za wifi yako si suala la kitoto..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji38]
Usisahau na kupulizia ile perfume yako, ili ukijibu comments zake ziende na marashi kama zake zinavyokuja zinanukia
 
....ashukuriwe baba na mama kwa kutulea..[emoji7][emoji7]
Kabisa bro ake, me ntakusupport hadi mwisho. Hua naumia kila siku wazazi wanapokusema kuhusu kuoa, nakuombea ufanikiwe wazazi wetu wafurahi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom