zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Hello JF users. Kuna kipindi inabidi uoneshe hisia zako kwa mtu unayempenda ili aweze kutambua ni jinsi gani unavyompenda.Lakini itakubidi ufiche baadhi ya hisia zako kwa MTU unayempenda mpaka pale wakati utakapofika.
Kwa Mfano watu wengi unakuta ameshaingia mazima kwa muda mchache tu unayempenda(msichana). Ameshajua namna gani unafeel ukiwa na furaha unamuonesha ukiwa na hasira unamuonesha.
Ukifanya hivyo utachokwa mapema penzi halitanoga coz kutakuwa hakuna hata surprise ndani ya penzi.
Wanaume wengine kwa mfano anamuingiza manzi boksi alafu eti kesho yake au ndani ya wiki anataka kula tunda.Hiyo inapelekea penzi kuvunjika mapema.
Hata wanawake mwanaume amekupenda leo tu eti kesho nitumie hela basi dah!kwa staili hiyo utachokwa.
Kuficha hisia zako kunafanya umpende zaidi umpendaye lakini hata yeye atakupenda zaidi coz utakuwa na surprise kila siku hautasomeka.
Na upendo baina yenu utakuwa na bond yenye nguvu