Jifunze Lugha ya Kiarabu

Kwa njaa ipo nlionayo labda?miarabu yenyew vitasa imejazana mtaa wa lind haina kaz za kufanya afu nijitie kusoma uchafu wao ule niupeleke wapi?mitoto ya kiume kila uchwao inaliwa viboga tu na hao wanaojiita wafia dini,jahhahHHhH dini nyingne. Bhana n ushetan tupu
 
Acha uongo, haoni aibu!? , ndio maana hamna maendeleo, sema kweli bana.

Maruani wako hao wanaongea lugha yetu ya Kiswahili, Teh, Teh...

Sasa watu wajifunze kiarabu wapate nini wewe, watu wanajifunza English Kifaransa Kijerumani kwaajili ya ajira masomo kwa maendeleo sasa hicho kiarabu waarabu wenyewe kama waafrika tu,

ni sawa na kujifunza kindengereko.
 
Acha uongo, haoni aibu!? , ndio maana hamna maendeleo, sema kweli bana.

Maruani wako hao wanaongea lugha yetu ya Kiswahili, Teh, Teh...

so waislamu wenzio wanaolalama wengi wenu wanamaisha magumu sababu ya mfumo kristo
wanasema uongo!!! ukiangalia wanaoongea kiarabu na kingereza wapi wanahadhi, hivi utawataja wanaongea kiarabu kweli???
:israel::israel::israel::israel::israel:
 
Software uletewe bure, na bado wataka wanaume wenzio wakushawishi tena ujifunze? Mahmood naona ina jina lako, ulitengeneza wewe ama?

Ndio bro, mia nimeitengeneza (application hii), lakini mwandishi ni Sheikh Ali Muhsin Al_Barwani
 
Last edited by a moderator:
Akhsantum, sasa nitaipata vipi hii kitu maana nimekua nikitamani sana kujifunza lugha mbalimbali.

Sword,

Please Download it from the link in my first post in this thread.
 
Sasa watu wajifunze kiarabu wapate nini wewe, watu wanajifunza English Kifaransa Kijerumani kwaajili ya ajira masomo kwa maendeleo sasa hicho kiarabu waarabu wenyewe kama waafrika tu,

ni sawa na kujifunza kindengereko.

Kujifunza lugha yeyote ile ni faida (kujua zaidi sio hasara) mimi nimejifunza lugha ya kisukuma sasa naongea na wasukuma huko Igunga bila tabu.
 
Bother Mahmood shukran kwa ubunifu huu utasaidia sana kuwajuza wale wataopenda kujifunza.Allah akujaze kheir na hekima zaidi uweze kuiboresha.Ama baada ya hayo ni kuhusu hawa mabaradhuli wasio fundishwa na mama zao lakini wakakabidhiwa maburuda ndio wakuwafunza.nawaelewa hawa inside out nishaingia ndani kwa hao wana wadanganya .nimeshaina hao maburuda wao wakiwapakata na kuwapapasa vitoto masikini vya miaka 16 nakuendea huku wakiwattomanya matiti yao...huku wakisema father ....come on..
Wasitushughulishe mwanaume ukishabanjuliwa sii rahisi kuwa na akili yako tena lazima utakua na akili ya buruda tu ambao huwa wanawajaza chuki .
 
Kule peponi nasikia kwa waislamu waliokwishafika kwamba kama unajua kusoma kur aan unapelekwa gesti ndani kuna mabinti saba wote mabikra. sasa sijaambiwa wanawake wakifika huko wanapewa kitu gani. hebu kwa aliyefika na kurudi atuhabarishe

Sawa lakini wewe kijimungu chako kilivuliwa nguo kikapigwa bakora kama mwizi wa kuku hicho piga huyo mwizi piga huyo kikafinyangwa na kushindiliwa misumari kakafilia mbali.....tena ikawaje ? Mungu jamani kashakufa ooh sasa tuibe maiti yake then tuseme kajifufua ..hahahahaha pumbaffffg
 
Sishangai comments zenu ila ukweli utabaki palepale kuwa mpanda ngazi na mshuka ngazi hawashikani mikono na hawatashikana abadan
 
Ndugu zangu hii phone application ya kujifunza lugha ya Kiarabu kwa Kiswahili nzuri sana kwa family (hasa kwa Waisilamu, itawasaidia kusoma Quran In Sha Allah) inafanya kazi katika simu za Android 

Check out "Jifunze Kusoma Kiarabu" - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.MDS.kiarabu

Mr. Mahmood unakosea kusema wajifunze waislamu,unamaanisha uarabuni wanaishi waislamu tu au wasio waislamu lugha ya kiarabu siyo haki yao kujifunza? Mi binafsi najuwa kiarabu ni lugha kama lugha zingine za kigeni kama kiingereza,kichina,kifaransa,kiitaliano.. Hivyo kubagua kundi moja tu hutendi haki kwa wanaopendakujifunza.
 
Umesoma alichoandika au umetoka kuamka
Amesema ndugu zangu...nyote yaani ...ila alitilia mkazo kwa waislam itawasaidia kujifunza quraan.
 
kwa anaye penda namshauri ajifunze kwani ndiyo lugha ya peponi mimi ni muislamu na ninaamini katika hili na wala si hitaji ushauri wowote juu ya hili kwani katika imani ni kuamini na kufuata kama jinsi maandiko matakatifu katika qur an yanavyo nena ewe m.mungu nisaidie katika hili

Kwa hiyo kama hujui lugha hii ukienda peponi lazima uwe na mkalimani? Asante kwa taarifa nitaifanyia kazi
 
duh.kiarabu cha nin kwan?????kwao wanajilipua tu.very uncivilized.mabomu ya kuvaa,kuuana.jaman ivi ntapata nn kujua iyo lugha kama si shida.kamwambie samatha lee white na syria uko.au boko haram.khaa

Wee haujui kwamba kuna maelfu ya vitabu kwa lugha ya kiaraba (vitabu vyote muhimu za elimu mbali mbali zimetafsiriwa kwa lugha ya kiarabu), mimi nimejifunza mengi sana kutumia lugha ya kiarabu, (vitabu vingi muhimu havipatikani kwa lugha ya kiswahili lakini vimejaa kwa lugha ya kiarabu), pia kumbuka kwamba wanasayansi wakubwa na maarufu sana walikuwa wakiongea lugha ya kiarabu (wameandika vitabu vingi sana kwa lugha ya kiarabu na vimetafsiriwa kwa lugha mbali mbali huko ulawa, kuna vingine vilikuwa vikitumika katika ma university ya huko ulaya, just for information, university ya kwanza duniani ilianzishwa na warabu huko Morocco (waulize wasomi watakwambia).
 
Back
Top Bottom