jifunze kutengeneza mtego wa panya

jifunze kutengeneza mtego wa panya

Hawa wa kibongo si panya wala si panya buku hawa ni panya mtu na nishatumea kila aina za dawa na mwisho nikauziwa unga wa kusaga kwenye betteriy za nationali
 
Hawa wa kibongo si panya wala si panya buku hawa ni panya mtu na nishatumea kila aina za dawa na mwisho nikauziwa unga wa kusaga kwenye betteriy za nationali
Mkuu makubazi mkamate huyo Panya kwa njia ya hii video angalia hapo chini.

 
Last edited by a moderator:
Mchina bye bye hawanipati tena,mkuu MziziMkavu nashkuru sana kwa hii video nitaitumia kutengeneza mitego kuwamaliza home maana mitego yote sasa wanaijua nadhan huu bongo bado hawajaujua bado..Jf ni darasa tosha.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom