BR Stationary
Member
- Oct 7, 2026
- 5
- 10
Broh, Usiingie mtego wa kuoa au kumzalisha mwanamke sababu ana pesa ,Kazi nzuri au ana elimu kubwa.
Unajua kwa nini, Mwanaume kaumbwa kutawala hawo watataka kukutawala ,Mwanzoni atakupa vijipesa ,ata kusaport biashara na issue uko mbele misaada itakata, atataka na wewe uanze kumuhudimia ndo kimbembe kitaanza apo.
Hilo ndo anguko lako utakosa watoto ,mali na utaharibu mwelekeo wa Maisha Yako.
Tafuta mwanamke aliyendani ya uwezo wako ambaye wewe unamuona si type yako huyu ndo mke zalisha ,Mweke nyumbani ,Mfungulie biashara ndogo ndogo afanye.