Sky Eclat, Nasikiliza album ya The Fugees, The Score, studio album ya pili Na ya mwisho ya kundi mahiri la Muziki wa hip hop/reggae Na R&B.Akishajua huko nje majani si ya kijani kama alivyofikiria atarudi
Huwa nikienda kumtembelea mzazi au mama mpya ninamuangalia mtoto na kumhurumia jinsi atakavyo umia moyo katika mapenzi. Kila binadamu anapitia awe tajiri au masikini.Sky Eclat, Nasikiliza album ya The Fugees, The Score, studio album ya pili Na ya mwisho ya kundi mahiri la Muziki wa hip hop/reggae Na R&B.
Album hii ilitoka February 13 mwaka 1996. Miaka 22 iliyopita.
Asante Mungu kwa uhai, uzima Na afya tele.
Ukiwa boya, mapenzi yatakuchanachana.
Kwenye mapenzi nimejifunza, USIWEKEZE moyo wako, Wekeza KUCHA Na nywele, maana hata vikikatika vitaota tena.
Moyo wangu ni Mali ya Mungu, mpende Mungu wako kwa moyo wako wote. Mademu I am so sorry
Maumivu ya moyo yako kwa ajili ya kutufanya strong and stable. Unaanguka once Na kuumia, ukianguka Mara ya pili hakikisha maumivu hayazidi Yale ya KwanzaHuwa nikienda kumtembelea mzazi au mama mpya ninamuangalia mtoto na kumhurumia jinsi atakavyo umia moyo katika mapenzi. Kila binadamu anapitia awe tajiri au masikini.
Utafungwaa, Arabuni utanuongwaa!!!Usilazimishe mapenzi akisema hakutaki mwache aende.
Mapenzi ya siku hizi s mpaka akuambie sikutaki unapata matukio mchanganyiko mwenyewe inafikia hatua unaona heri kuacha aendeUsilazimishe mapenzi akisema hakutaki mwache aende.
Hujaamua tu, unajikaza bwana maisha yako n muhim kuliko huyo hasidi kiumbe, kila kitu ni maamuzi hakuna kishindikanacho chini ya juaHua inakua ngumu saana haswa kwa mtu uliyempenda lakini siku baada ya siku utamsahau tu......