SDG
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 7,631
- 8,074
Umefanya vyema,kumng'ang'ania ni kujiumiza KIAFYA si nzuriAaah mimi nimemuacha aende nashangaa bado ananichungulia tuu dirishani sijui alikuwa ana bipu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna muda unahitaj MWENZA,
Jambo zuri japo wengi hushindwa,sijui kwanin?nashukuru mungu alinipa moyo wa kuwaacha waende zao..biashara za kulilia au kubembelezana na binti sinaga asee...
Usiuendekeze Moyo,moyo hauoni ila wewe ndo uatumia macho kumuona anayekuumiza,mbona naona kama jambo gumu sana kuendelea na mtu anayekuzingua,INAWEZEKANAJE?Tatizo moyo
ushauri wa bure
May be ngumu,ila look forward.Mtu anakuzingua mtaishije?Muda unaponyaga though ni ngumu si rahisi..
Na hata kuyatenda rahis pia kama UNAJITAMBUAHayo mambo in rahis sana kuyaandika ila sio kuyatenda usiombe yakukute Me too
Huyo HAJAKUUMIZA wewe,ukiumia mwenyewe utamruhusunilijitahid kumwacha aende duh niliishia kuumiza moyo tu wenye vpaji vyao wengine tunafeli kufanya hivo
Duniani watu wamejaa hapa,ukisema NTAKUTANA NA NANI hapo unakua umejifunga sanaUmenena mkuu ilaa.. Tatizo moyo wa kumuache naukosa jamani..!! Nawaza baada ya yeye atakua nanii? au ndio ntakutana na moto mpya!
young kilimanjaro
May Allah bless Me and You
