Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 794
- 656
Habari wana JF!
Napokea message PM kuhusu platform ya ku invest stock market kwa watanzania, platform nyingi za stock market especially US STOCKS ni kama hakuna zaidi ya TRADING212 ambayo mimi nilijiunga 2020 nilitaka kununua US STOCKS kama AAL, PK, OIL STOCKS. Ambazo zinafanya vizuri sana kwenye stock exchange, kilichonikwamisha ni mtaji; Stocks kama huna $10k ni bora utrade IQOPTION.
Ukiangalia stocks nyingi zikiwepo hizo nilizotaji hapo juu kwa sasa nimepanda kiasi chake kutoka $10-$15 PK, $10-$13 AAL, $21-$65 OXY, walionunua oil stock kipindi cha corona kwa sasa ni wamepata faida kubwa sana.
Kwa watanzania sidhan kama kuna platform kwa sasa wanaruhusu kujiunga ili uwekeze , option iliopo ni IQOPTION kwaajili ya kutrade stocks.
Stocks ni biashara nzuri sana kama utapata access ya kuwekeza kwenye US STOCKS na uwe na mtaji wa $10k, kwa sasa kampuni nzuri za kuwekeza ni mashirika ya ndege maana bado yanasuasua kwenye bei ya hisa , mfano america airline bado ipo $13 .
PK
OXY
IQOption Platform
Kupata news(FUNDAMENTAL ANALYSIS)
Stock Market inaendeshwa na fundamental analysis usije ukajichanganya ukatumia technical analysis, utauguza akaunti fasta. Soma fundamental kwenye website hii hapa chini au pakua app yake set notifications uwe unapokea news , na muda mzuri wa kutrade stocks ni saa 16:30PM. Muda huo ndio US stock inafungulia so kuna kuwa na news nyingi sana na hiyo app inakupa diriection kama ku sell au ku buy kutokana na news.
Hapo nadhani nimekupa mwanga kidogo ila kama una swali unaweza kuuliza nitajitaid kujibu kutokana na resources zilizonazo.
Goodluck.