Jifunze kilimo cha nyanya

Kwa wataalamu wa kilimo hususan matumizi ya mbolea jee matumizi ya biostimulants inaweza kuwa mbadala ya matumizi ya mbolea za viwandani?au pamoja na kutumia biostimulants inahitajika pia kutumia mbolea
 
tunauza kwa box sio kwa kilo, unapata box nyingi kama utalima kwenye shamba zuri na utahudumia vzr

Heka moja inaweza kugharimu mil 2-3 itategemea na changamoto za magonjwa na madawa kadri inavyojitokeza

faida itategemea na bei Ila ikianzia 10000 tu unapata faida, sababu inatoa box nyingi na unavuna sn
ukianza kuchuma unachuma kila wiki sasa hizi nyanya zina michumi mingi inafika hadi michumo 9
Uni PM namba yako Kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni wakulima wa nyanya, nimeona first page mambo ya mbegu naomba nichangie,
Ukulima nyanya hybrid/chotara au unalima za kawaida/opv tambua huduma zake ni sawa yaani kiasi cha dawa, mbolea,maji,muda wa palizi,vibarua,shamba kama la kukodi bei ni ile ile tofauti iliyopo kati ya kutumia mbegu chotara na mbegu ya kawaida ni mosi bei mbegu chotara ghali kuliko za kawaida na pili mavuno mbegu chotara ina mavuno mengi sana kuliko za kawaida na other advantage chotara inauvumilivu wa magonjwa kuliko za kawaida.
Huwa iko hivi kulima nyanya ya faida kwa asilimia Mia moja za mavuno basi asilimia 10 inatoka kwenye mbegu na asilimia 90 inatoka kwenye huduma. Hivyo unapoona mbegu chotara ghali ukanunua za kawaida tambua umeshajiandaa kupata hasara sababu huduma ni the same.
Tuondoke kwenye kulinganishiana maeneo yaani alielima pakubwa ndio mkulima lah tuje kwenye kulima eneo ambalo unaweza kuhudumia vyema na unapata mavuno bora basi utafanikiwa.

Kama unalima let's say jarrah rz unapata crate 1000 kwa ekari (ndio uzao wake) na mwingine analima rio grand akapata crate 200 kwa ekari na muda Huo Huo uduma sawa sawa kote basi alielima jarrah atapata faida hata kama nyanya itauzwa elf 10 kwa crate na alielima rio grand atapata hasara hata crate likiuzwa elf 40
Exactly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asila ni mbegu nzuri sana.. Je we unaiekea miti?
Hatuwekei miti mkuu
IMG_20180829_090647.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
miche ni mingi huwezi kuhesabu Ila inatosha heka 1 na kubaki inaweza kupanda heka 1 na nusu kama hazita kufa sn maana kuna zoezi la kurudishia miche kwenye mashimo yaliyokufa

hiyo gharama niliyokwambia nimejumlisha kila kitu kuanzia kukodi shamba, kulima kwa trekta, kupiga shimo, kupanda, kurudishia, palizi, madawa yani kila kitu hadi kuvuna
Naomba unipatie naomba yako m nko morogoro pia natak kujifunza zaid na huu mwak nna plan za kulima nyanya za kisasa namba yangu 0767459480. Naomba nipgie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom