kluger
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,093
- 1,894
Safi sana mkuu, nimekutext pm angaliaNyanya ni miezi mitatu unaanza kuvuna, sisi moro tunapanda mwezi wa tatu na mwezi wa sita tunaanza kuchuma
Safi sana mkuu, nimekutext pm angaliaNyanya ni miezi mitatu unaanza kuvuna, sisi moro tunapanda mwezi wa tatu na mwezi wa sita tunaanza kuchuma
Ngoja nichekSafi sana mkuu, nimekutext pm angalia
Jua nyanya zipo fupi, saizi ya kati na ndefu!!Wakuu nimetafuta Assila Arusha nikaambiwa imeisha ila kuna mbadala wake ambayo ni “Monica F1 “ kuna mwenye ujuzi Na hii mbegu? Pia wanauza mbegu 500 kwa sh 30,000 je kwa heka Moja inaingia mbegu ngapi?
Niko mkoa wa Kagera - huku ni Tanganyika, sijui kama nitapata masokoKaribu sn mkuu, bado hujachelewa msimu huu ndio kwanza tunakodi shamba na tupo hapa hadi mavuno
Unalimia wapi?
Sijajua kuhusu masoko huko ila hakuna sehemu ambayo nyanya haihitajiki kwa matumiziNiko mkoa wa Kagera - huku ni Tanganyika, sijui kama nitapata masoko
Habar mkuu; nimepanda Assilla Dumila Morogoro ina kama week tatu sasa ...kulingana n.a. uzoefu wako wa eneo Hilo changamoto gani nitegemee upande wa ukuzaji shambani ; n.a. vipi wakati wa Uvunaji soko linaweza kuwa n.a. bei ipiKaribu sn mkuu, bado hujachelewa msimu huu ndio kwanza tunakodi shamba na tupo hapa hadi mavuno
Unalimia wapi?
Asante sana mkuu, na vip suala la spacing kwa Kipato f1 linakuwaje.Gram 30 au 35 zinaweza kutosha, ila inategemea na changamoto za shamba na upandaji wako zinaweza kufika gram 50 kama zitakufa sn kwaajili ya kurudishia
Kwa arusha kuna sehemu moja ambayo najua hawawezi kukosa assila mkuu...kuna kampuni ipoopposite na msikiti wa ngarenaro pale kwenye sheli ya camel kuna duka lina itwa daymo trading company ltd,wanauza mbegu za aina zote pamoja na kufunga drip irrigation system,greenhouses na dam liner....jumatano wiki iliyopita nilichukua 30g za asilla pale..jaribu kufika paleWakuu nimetafuta Assila Arusha nikaambiwa imeisha ila kuna mbadala wake ambayo ni “Monica F1 “ kuna mwenye ujuzi Na hii mbegu? Pia wanauza mbegu 500 kwa sh 30,000 je kwa heka Moja inaingia mbegu ngapi?
Wakuu msaada wenu
Hizi nyanya leo zina siku ya 28 lakini kuanzia jana nimeona matatizo mawili ambayo sijajua nayatatuaje
Sijajua tatizo ni nn wala sielewi nafanyaje hapa, msaada wenu tafadhali
1. Kuna miche 3 imelegea km inataka kufa
2. Majani ya miche karibu 80% yamejikunja mpaka kufanya miche ionekane imekuwa myembamba sana
Tofauti kati ya mche ulio kawaida na wenye shida,,huo wa kushoto ndo umebadilika
Cc: the horticulturist Yumbayumba Upepo wa Pesa na wadau wengine
Mkuu maji namwagilia kila baada ya siku 2,yani nkimwagia j3 nakuja mwagia tena alhamis ila mpk inatokea hyo hali nlipitisha siku 1 yan nlimwagia baada ya siku 3Pole mkuubila sio tatizo kubwa
Nimetazama zilizoonyesha dalili ya kunyauka,shina naona liko okay vipi maji unanyesha vipi kiasi gani kwa siku na unanyesha kila baada ya siku ngapi?
Pili majani kujikunja naona yameangalia juu kuna mawili either maji kidogo hivyo yanajipinda kukinga upotevu wa maji,pili yameingiliwa na wadudu wanaofyonza jani kwa juu haswa mites/mchwa. Nijibu la maji litatupa jibu zuri zaidi. Inaweza kua mwanzo wa TYLC-tomato yellow leaf curling virus ila mbegu chotara nyingi zinavumilia je ni mbegu gani hiyo???
Nb: hata kama inavumilia au haivumilia je kuna wanaoingia na sigara shambani au mvutaji anapita karibu ya shamba au kuna tumbaku jirani maana tylc iko sana kwenye tumbaku.
Kuhusu mbegu sio chotara ni mbegu ya kawaida tena ya kukamua,,niliichkua kwa mkulima m1 huko DodomaPole mkuubila sio tatizo kubwa
Nimetazama zilizoonyesha dalili ya kunyauka,shina naona liko okay vipi maji unanyesha vipi kiasi gani kwa siku na unanyesha kila baada ya siku ngapi?
Pili majani kujikunja naona yameangalia juu kuna mawili either maji kidogo hivyo yanajipinda kukinga upotevu wa maji,pili yameingiliwa na wadudu wanaofyonza jani kwa juu haswa mites/mchwa. Nijibu la maji litatupa jibu zuri zaidi. Inaweza kua mwanzo wa TYLC-tomato yellow leaf curling virus ila mbegu chotara nyingi zinavumilia je ni mbegu gani hiyo???
Nb: hata kama inavumilia au haivumilia je kuna wanaoingia na sigara shambani au mvutaji anapita karibu ya shamba au kuna tumbaku jirani maana tylc iko sana kwenye tumbaku.
Mkuu kwanza hapo shida ya kwanza joto, inaonekana shamba linakichanga linatunza sn jotoWakuu msaada wenu