Jifunze kilimo cha nyanya

Niliwai kujaribu kilimo hiki cha Nyanya,mambo yalienda vizuri lakini kuna mdudu anaitwa Kanitangaze duu!,aliniharibia sana ijapokwa mtaji wangu ulirudi baada ya mavuno!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu...tatizo huwa tunajisahau kwenye upuriziaji wa dawa...unatakiwa upige dawa kwa kubadilisha badilisha baadhi ya wadudu huwa wanajibadilisha kupambana na dawa...wakizoea dawa moja ni vigumu kuwamaliza....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwai kujaribu kilimo hiki cha Nyanya,mambo yalienda vizuri lakini kuna mdudu anaitwa Kanitangaze duu!,aliniharibia sana ijapokwa mtaji wangu ulirudi baada ya mavuno!

Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya kanitangaze ni belt SC.
Ni tube ndogo tu ina mills 4 wanauza 4,000TZS

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 

dokta ; matunda ya nyanya yanaharibika kwa kuanzia kwenye kitako cha tunda la nyanya. Wengi wanasema tatizo ni joto. nipo tabora. je ni kweli tatizo ni joto? nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuongezea, achilia mbali maji ila pia anatakiwa aweke mbolea ya CAN au yara nitrabor!!
 

Wataalamu nimepatwa na tatizo ktk nyanya zangu, hasa majani ya chiniView attachment 578476View attachment 578477
Kwa kuongezea... Kuna dawa za ukungu za kutibu na kuna dawa za kukinga. Ajitahidi kutafuta dawa za kutibu au dawa ya kutibu na kukinga at once.. Ivory 72WP au multpower itamfaa zaidi...
 
Nyanya ikianza kuweka maua inahitaji dawa?
inategemea kama kuna ugonjwa unahitaji dawa ya haraka piga dawa Ila kwa umakini
kuna baadhi ya dawa upukutisha maua au ww mwenyewe usipokuwa makini wakati wa kupiga dawa utapukutisha maua kimsingi maua ndio matunda yenyewe, elewa kwamba nyanya akianza kutoa maua haiitaji usumbufu
 
karibu Moro mkuu
 
Nilikuwa Nina miche 580.nimepata hela kiduchu. Msimu mbaya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…