Unapitwa na Mengi sana ,karne hii unatumia JUMIANiacheni ntafanya kwenye Jumia na Kikuu yangu nlozoea via Tigo Pesa, Airtel Money, M Pesa .....mambo ya Pay Pal sijui CRDB master card yanawenyewe
China post registered mail ikichelewa ni wiki 4 mkuu.Hao china sitarudia tena..bora nilipie kagarama fln hiv juu ili angalau nipate mapema
Kweli jamaa mara nyingi wiki 4-5.Tatizo lao hawa China Post hawatabiriki mzigo unaweza ukawahi sana au ukachelewa sana, so kuepuka usumbufu mi huwa natumia SingPost pekee japo gharama zao ni juu kiaina, lakini ni uhakika ndani ya wiki tatu mzigo upo .
Mambo ya 4PX Singapore Post OM pro haya.Pendelea kutumia courier service hawa:-
1.Singapore post
2.Ali express standard shipping (Singapore post)
3.hong Kong post
4.China post registered mail
5.PostNL
6.Sweden post
7.Asendia
Utapata mzigo wako ndani ya wiki 2-5.
Wengine wawaliobaki kama:-
1 China post small packet plus
2.4PX Singapore post OM pro,
3.Yanwen Economic Air Mail
Hapo subiria miezi 2+ au zaidi au usiupate kabisa.
Hao jamaa nyoko sana yaani zimetimia 96 days hapo.Mambo ya 4PX Singapore Post OM pro haya.
Mzigo nimeagiza tarehe 21/04/2018 umefika tarehe 25/07/2018.
View attachment 1166888
Hiyo hapo
View attachment 1166891
Hata wiki 4 ni nyingi sana..nataka wiki 2-3 ila isiwe DHL mana ile ni garama sanaChina post registered mail ikichelewa ni wiki 4 mkuu.
Labda ulichagua free shipping ya China post small packet plus ambayo ni siku 30-60
Aliexpress standard shipping wewe inakufaa siku18 mpka 21 mzigo bongoHata wiki 4 ni nyingi sana..nataka wiki 2-3 ila isiwe DHL mana ile ni garama sana
Ulitumia njia gan kutuma na kwa muda gani..kuna kitu nataka nijueJana nilipokea mizigo minne ila mzigo mwingine huu hapa umekatalia Kariakoo sijui kuna shida gani.View attachment 1168734
Nilitumia China Post Ordinary Small Packet Plus mwishoni mwa mwezi wa tano.Ulitumia njia gan kutuma na kwa muda gani..kuna kitu nataka nijue
Ndio zao hizo mkuu!!Shenzi zao Seller wa Ebay kwa kuendeleza Mchezo wa kuremove items siku chache mbele baada ya kufanya manunuzi.
top seller wao wenyewe ni wa kuwasaka kwa torch alafu wengi hawaship Tanzania.
Wacha tukomae na wachina wetu wa Aliexpress,Banggood na Gearbest hata vitu vya Thamani ndogo unaweza kuvitrack fresh.
View attachment 1170575
View attachment 1170574
View attachment 1170562
eBay now days sio trusted kabisaaaa! Mimi eBay tangu nimeuziwa G-Shock fake niliachana nao muda mrefu sana. Mchina naye anazidi kuchanja mbuga na Alibaba group.Shenzi zao Seller wa Ebay kwa kuendeleza Mchezo wa kuremove items siku chache mbele baada ya kufanya manunuzi.
top seller wao wenyewe ni wa kuwasaka kwa torch alafu wengi hawaship Tanzania.
Wacha tukomae na wachina wetu wa Aliexpress,Banggood na Gearbest hata vitu vya Thamani ndogo unaweza kuvitrack fresh.
View attachment 1170575
View attachment 1170574
View attachment 1170562
Kampuni gani hyo mkuu, Kuna mzigo niliagiza lakini , mpaka Leo haujafika kabisa,China post registered mail siku hizi inachukua wiki 4 ila leo mzigo umeingia mapema zaidi yaani siku 13 tu tayari kitu hicho mkononi.
Nachoona hapa seller akiwa sharp kitu kinawahi.
View attachment 1166452
View attachment 1166453
Kampuni gani hyo mkuu unaitumiaJana nilipokea mizigo minne ila mzigo mwingine huu hapa umekatalia Kariakoo sijui kuna shida gani.View attachment 1168734
kwani tracking number zinasemaje?Leo siku ya tatu mzigo umeingia ni simu lakini naambiwa custom wapo nao na siambiwi chochote cha kufanya...je nifanye nini kwa wazoefu kwa hatua hii?
umeagiza lini na Shipping gani ulitumia?Kampuni gani hyo mkuu, Kuna mzigo niliagiza lakini , mpaka Leo haujafika kabisa,