BABA LEA WATOTO
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 338
- 722
Unatatizo kama langu parcel imefika tangu tarehe mosi kwenye tracking inaonyesha imeshikiliwa na TRA naomba kujua mwenzangu umefikia wapi katika kutatua hilo!mimi kesho naenda kuwafuata. nami toka tr 1View attachment 1173775
%Kipengele unachagua kila unaponunua bidhaa.
Kama umeshanunua Huwezi kubadilisha boss
nilienda network ikawa bado inasumbua nikaacha no ya cm na tracking no kwa jamaa jioni akanipa no ila inaanza na RDP maana yake kodi inahusikaUnatatizo kama langu parcel imefika tangu tarehe mosi kwenye tracking inaonyesha imeshikiliwa na TRA naomba kujua mwenzangu umefikia wapi katika kutatua hilo!
Du parcel cost ya $ ngapi? Maana yangu ni 75$ sijui kama inaweza kuwa kesi sawa!nilienda network ikawa bado inasumbua nikaacha no ya cm na tracking no kwa jamaa jioni akanipa no ila inaanza na RDP maana yake kodi inahusika
$200Du parcel cost ya $ ngapi? Maana yangu ni 75$ sijui kama inaweza kuwa kesi sawa!
Niko kanda ya ziwaWe upo wapi kwani Nko?
Watakuwa wamechanganya madawa!!!Niko kanda ya ziwa
Nitawaendea leo isije ikala kwangu.Watakuwa wamechanganya madawa!!!
Parcel zinafuka posta Kuu kwanza (GPO) then wanazichambua na kuzipeleka sehemu husika.
Huo wako final destination ilitakiwa iwe ni mkoa wako sijaelewa hapo Kariakoo umeingia je sasa?
Wapigie posta watasolve hilo tatizo.
Mkuu ukisema usubiri wakustue inakula kwako maana siyo wote wenye utaratibu wakukupigia au kukusms labda uwe unawatoa ya vocha mara moja mojaTayari nimejipeleka mwenyewe na nimepata mzigo wangu. Shida ni watu wa posta walikuwa wamekaa nao tu. Na muhuri uliogongwa Kariakoo huo hapo chini.View attachment 1176545
Mimi nashangaa siku zingine wananipigia simu lakini round hii wamekaa navyo tu na wala hawakuhangaika kutafuta vilikuwepo hapo tu kama pambo. Isije ikawa labda vilikuwa na harufu nzuri wakaona waendelee kukamua.Mkuu ukisema usubiri wakustue inakula kwako maana siyo wote wenye utaratibu wakukupigia au kukusms labda uwe unawatoa ya vocha mara moja moja
Mastercad yako inapaswa kuwa na Tsh 2440 x 94.1 = 229, 604Hv wadau msaada kidogo kuna simu nimeioma huko aliexpress INA uzwa dola 94.1 sasa kila nikilipia kwa MPesa MasterCard naambiwa "the total order amount exceeds the credit limits.try another form of payment" na wakati huo hyo card imekuwa loaded na kama 220000/=
Kitu gani uliagizaNimepokea nilichoagiza leo.
Kama hiyo 94.1 inahusisha na shipping fee basi account yako inatakiwa iwe na tsh 226,000 kukamilisha hayo malipo coz:Hv wadau msaada kidogo kuna simu nimeioma huko aliexpress INA uzwa dola 94.1 sasa kila nikilipia kwa MPesa MasterCard naambiwa "the total order amount exceeds the credit limits.try another form of payment" na wakati huo hyo card imekuwa loaded na kama 220000/=