Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Shaffin Simbamwene

Verified Member
Nov 16, 2008
1,962
2,000
Asa tujuzane jinsi ya kusaidia hivi vitu maana me nataka niagize simu so tujuzane trick za kupunguza kodi
Wewe agiza tu boss maana mambo ya kodi hayatabiriki.
Ukipita kimya kimya OK na wakikudaka yabidi ulipe tu au uwaachie mzigo!!!
Kuna wanaoagiza simu humu bila ya kutozwa kodi na TRA na Kuna wengine ndo hivyo wanalipishwa.
 
Shaffin Simbamwene

Verified Member
Nov 16, 2008
1,962
2,000
Mwambie Seller afanye mazingaombwe
Siyo ushauri sahihi maana jamaa wa TRA wamepewa mamlaka ya kuchana parcel na kujiridhisha thamani halisi ya mzigo.
Pia Kumbuka siyo wote wanaouliza humu ni waagizaji maana wengine ni watu wa TRA wanataka kusoma mchezo ulivyo so hizo sarakasi zako zitawaponza wengi humu
 
Emery Paper

JF-Expert Member
Jun 1, 2019
1,414
2,000
Wakuu msaada. Nataka kuagiza mzigo kutoka Aliexpress, najaza adress hapa, ila nimekwama hapo kwenye State/Province/Region. Anayejua cha kujaza hapo anaisaidie.
 
NtYga

JF-Expert Member
Aug 23, 2018
460
1,000
bro ahsante sana naanza kuelewa lakini sijajua vizuri malipo yanafanyika vipi nisaidie kuna kitu muhimu nataka kuagiza 0763444962.
 
SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,247
1,500
Nimepokea meseji leo kutoka kwa wauzaji wa vitu kwa njia ya mtandao ikiniambia kwamba mzigo wangu umezuiwa customs na ni mzigo mdogo tu ambao nilifanya order yake mwezi wa 6 mwaka huu.
Sasa naomba kujua kama kweli custom wanawezazuia kamzigo kadogo namna hiyo au ni ujanja ujanja tu seller aliona hakuna maslahi akaamua kufanya anavyojua?
IMG_20190903_124522.jpeg
 
Shaffin Simbamwene

Verified Member
Nov 16, 2008
1,962
2,000
Nimepokea meseji leo kutoka kwa wauzaji wa vitu kwa njia ya mtandao ikiniambia kwamba mzigo wangu umezuiwa customs na ni mzigo mdogo tu ambao nilifanya order yake mwezi wa 6 mwaka huu.
Sasa naomba kujua kama kweli custom wanawezazuia kamzigo kadogo namna hiyo au ni ujanja ujanja tu seller aliona hakuna maslahi akaamua kufanya anavyojua? View attachment 1196558
Hapo ni seller kaona hapati faida so kaamua kuchana mkeka.
Pia wapo wengine ukishafanya payment wanakwambia shipping fee zipo juu so uongeze hela za ziada au cancel order akurefund
 
SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,247
1,500
Hao ni sawa na wale wa eBay ambao wanauza vitu bei ya kutupa alafu ukishafanya payment wanaremove item.
Ebay huwa wanawaondoa kwenye system yao ila sijajua kama aliexpress wanafanya hivyo kwa seller wasumbufu
Sasa hivi najifunza kufanya manunuzi kule Alibaba maana naona mfumo wao siyo wa kuendea papara kama AliExpress yaani ule una kaugumu fulani unakuta seller mwingine kununua kwake ni kamlolongo na seller mwingine siyo kamlolongo. Ila AliExpress kuitumua ni simple sana, wako kidijitali asee.
 
Shaffin Simbamwene

Verified Member
Nov 16, 2008
1,962
2,000
Sasa hivi najifunza kufanya manunuzi kule Alibaba maana naona mfumo wao siyo wa kuendea papara kama AliExpress yaani ule una kaugumu fulani unakuta seller mwingine kununua kwake ni kamlolongo na seller mwingine siyo kamlolongo. Ila AliExpress kuitumua ni simple sana, wako kidijitali asee.
Alibaba ni nyoko yaani wanauza bei ya jumla kuanzia PCs kadhaa afu seller wa mle hadi mbembelezane ndo akutumie moja moja kwa njia ya posta.
Kuna feature phone fulani hivi hazipatikani aliexpress kule Alibaba wanauza kuanzia 300 pics kwa bei chee but ukisema uchukue moja ni ghali mno
Hao jamaa ni wazuri kwa wafanyabiashara wanaofungasha mzigo mkubwa sio sisi end users
 
SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,247
1,500
Alibaba ni nyoko yaani wanauza bei ya jumla kuanzia PCs kadhaa afu seller wa mle hadi mbembelezane ndo akutumie moja moja kwa njia ya posta.
Kuna feature phone fulani hivi hazipatikani aliexpress kule Alibaba wanauza kuanzia 300 pics kwa bei chee but ukisema uchukue moja ni ghali mno
Hao jamaa ni wazuri kwa wafanyabiashara wanaofungasha mzigo mkubwa sio sisi end users
Kweli kabisa yaani kule Alibaba vitu ni bei nafuu sana ila shida niliyoona ni pamoja na hiyo ya mpaka uongee naye, kitu kingine sijakutana na seller anayelipwa kwa Mastercard halafu wawezapata bidhaa nzuri lakini pia hawalipwi kwa paypal.
 
Dannis

JF-Expert Member
Jan 21, 2016
1,435
2,000
Hivi Ku refund inachukua muda gani?.
Nilifungia dispute 14 Augost mwaka huu baada ya majadiliano na seller kugonga mwamba kila proposal yake ni reject coz sikupata order yangu, sasa hapa tunasubiri final decision kutoka aliexpress.

Nilifanya makosa kuwatumia China Post Registered Air mail sinc 08/7/2019 sijapata order yangu na estimated delivery time imeisha.
 
Dannis

JF-Expert Member
Jan 21, 2016
1,435
2,000
Alibaba ni nyoko yaani wanauza bei ya jumla kuanzia PCs kadhaa afu seller wa mle hadi mbembelezane ndo akutumie moja moja kwa njia ya posta.
Kuna feature phone fulani hivi hazipatikani aliexpress kule Alibaba wanauza kuanzia 300 pics kwa bei chee but ukisema uchukue moja ni ghali mno
Hao jamaa ni wazuri kwa wafanyabiashara wanaofungasha mzigo mkubwa sio sisi end users
niliangalia video youtube kuhusu kununua alibaba, made in china na Global sources sasa naelewa kila kitu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom