Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Unatatizo kama langu parcel imefika tangu tarehe mosi kwenye tracking inaonyesha imeshikiliwa na TRA naomba kujua mwenzangu umefikia wapi katika kutatua hilo!
nilienda network ikawa bado inasumbua nikaacha no ya cm na tracking no kwa jamaa jioni akanipa no ila inaanza na RDP maana yake kodi inahusika
 
Niko kanda ya ziwa
Watakuwa wamechanganya madawa!!!
Parcel zinafuka posta Kuu kwanza (GPO) then wanazichambua na kuzipeleka sehemu husika.
Huo wako final destination ilitakiwa iwe ni mkoa wako sijaelewa hapo Kariakoo umeingia je sasa?
Wapigie posta watasolve hilo tatizo.
 
Nitawaendea leo isije ikala kwangu.
 
Tayari nimejipeleka mwenyewe na nimepata mzigo wangu. Shida ni watu wa posta walikuwa wamekaa nao tu. Na muhuri uliogongwa Kariakoo huo hapo chini.
IMG_20190809_120640.jpeg
 
Mkuu ukisema usubiri wakustue inakula kwako maana siyo wote wenye utaratibu wakukupigia au kukusms labda uwe unawatoa ya vocha mara moja moja
Mimi nashangaa siku zingine wananipigia simu lakini round hii wamekaa navyo tu na wala hawakuhangaika kutafuta vilikuwepo hapo tu kama pambo. Isije ikawa labda vilikuwa na harufu nzuri wakaona waendelee kukamua.
 
Ambae amewai nunua k2 alibaba msaada mbona kama nimpaka uwe na leseni ya biashara ivi
 
Wazoefu nisaidieni mzigo wangu tokea tarehe 30/07/2019 Unaonyesha uko mzee Ramaphosa tatizo litakuwa ni nini linalopelekea mzigo kutoendelea na safari?
Screenshot_2019-08-15-20-10-29.jpeg
 
Hv wadau msaada kidogo kuna simu nimeioma huko aliexpress INA uzwa dola 94.1 sasa kila nikilipia kwa MPesa MasterCard naambiwa "the total order amount exceeds the credit limits.try another form of payment" na wakati huo hyo card imekuwa loaded na kama 220000/=
 
Mastercad yako inapaswa kuwa na Tsh 2440 x 94.1 = 229, 604
Aliexpress rate of exchange ni 2440.
 
Nataka niagize mzigo aliexpress kwa kutumia post code ya posta makao makuu. Je ofisi yao ipo mtaa gani pale posta na post code yao ni ipi?
 
Hv wadau msaada kidogo kuna simu nimeioma huko aliexpress INA uzwa dola 94.1 sasa kila nikilipia kwa MPesa MasterCard naambiwa "the total order amount exceeds the credit limits.try another form of payment" na wakati huo hyo card imekuwa loaded na kama 220000/=
Kama hiyo 94.1 inahusisha na shipping fee basi account yako inatakiwa iwe na tsh 226,000 kukamilisha hayo malipo coz:
1.aliexpress exchange rate ni tsh 2300 per usd so Itakuwa tsh 216, 430
2.mpesa mastercard transaction fee 4% Sawa na tsh 8657.2
Jumla ni tsh 225, 087.2
So Weka Tsh 226,000 utafanya manunuzi bila ya shida.
 
65 Reactions
Reply
Back
Top Bottom