Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Pendelea kutumia courier service hawa:-
1.Singapore post
2.Ali express standard shipping (Singapore post)
3.hong Kong post
4.China post registered mail
5.PostNL
6.Sweden post
7.Asendia

Utapata mzigo wako ndani ya wiki 2-5.

Wengine wawaliobaki kama:-
1 China post small packet plus
2.4PX Singapore post OM pro,
3.Yanwen Economic Air Mail
Hapo subiria miezi 2+ au zaidi au usiupate kabisa.
China post wapo ovyo sana siku hizi maana hawatabiriki kabisa.
Nimeagiza mzigo Via China post registered Mail sasa siku ya 48 nasotea tu.
Mzigo mwingine niliagiza kupitia China Post Small packet plus umefika fasta sana yaani wiki 2 nishautia mkononi.
Nashindwa kuwaelewa kabisa hawa jamaa
Cc: Mr. Mobile
 
Kama hiyo 94.1 inahusisha na shipping fee basi account yako inatakiwa iwe na tsh 226,000 kukamilisha hayo malipo coz:
1.aliexpress exchange rate ni tsh 2300 per usd so Itakuwa tsh 216, 430
2.mpesa mastercard transaction fee 4% Sawa na tsh 8657.2
Jumla ni tsh 225, 087.2
So Weka Tsh 226,000 utafanya manunuzi bila ya shida.
Na bank transaction fees ni bei gani maana na visa ya crdb?
 
China post wapo ovyo sana siku hizi maana hawatabiriki kabisa.
Nimeagiza mzigo Via China post registered Mail sasa siku ya 48 nasotea tu.
Mzigo mwingine niliagiza kupitia China Post Small packet plus umefika fasta sana yaani wiki 2 nishautia mkononi.
Nashindwa kuwaelewa kabisa hawa jamaa
Cc: Mr. Mobile
Mimi nimeacha kabisa kuwatumia China Post, ni bora nilipie gharama kiasi kwaajili ya standard shipping tu.
 
Hao China Post Registered Mail wahuni asee, nimeapa kutowatumia tena. Niliagiza charger baada ya wiki moja wakaniambia iko Dar, nikasema asante Mungu. Huwezi amini ilienda siku 60 bila kupata chaja nikaamua kufungua dispute nirudishiwe hela yangu.

Baada ya wiki moja ndio chaja ikafika huku hela ninayo mkononi, maana yake mzigo ulitumia siku 60+. Bado nawaza kuwalipa sasa.
China post wapo ovyo sana siku hizi maana hawatabiriki kabisa.
Nimeagiza mzigo Via China post registered Mail sasa siku ya 48 nasotea tu.
Mzigo mwingine niliagiza kupitia China Post Small packet plus umefika fasta sana yaani wiki 2 nishautia mkononi.
Nashindwa kuwaelewa kabisa hawa jamaa
Cc: Mr. Mobile
 
Hao China Post Registered Mail wahuni asee, nimeapa kutowatumia tena. Niliagiza charger baada ya wiki moja wakaniambia iko Dar, nikasema asante Mungu. Huwezi amini ilienda siku 60 bila kupata chaja nikaamua kufungua dispute nirudishiwe hela yangu.

Baada ya wiki moja ndio chaja ikafika huku hela ninayo mkononi, maana yake mzigo ulitumia siku 60+. Bado nawaza kuwalipa sasa.
Nishafungua dispute wanasema ni subiri hadi siku ya 60 kama bado mzigo watanirefund.
Ila zamani walikuwa poa sana hao jamaa.
Kuhusu hiyo hela ya jamaa ni vyema ukawasiliana nao ujue taratibu za kuwaLipa maana ukiwakaushia mambo yanaweza yakawa mabaya huko mbeleni hasa kusababisha baadhi ya seller kugoma kuship Tz.
 
Wakuu mbona tulijuzwa hapa kuwa TRA hawashikilii bidhaa zinazokuja kwa njia ya posta hasa aliexpress
 
Asa tujuzane jinsi ya kusaidia hivi vitu maana me nataka niagize simu so tujuzane trick za kupunguza kodi
Wewe agiza tu boss maana mambo ya kodi hayatabiriki.
Ukipita kimya kimya OK na wakikudaka yabidi ulipe tu au uwaachie mzigo!!!
Kuna wanaoagiza simu humu bila ya kutozwa kodi na TRA na Kuna wengine ndo hivyo wanalipishwa.
 
Mwambie Seller afanye mazingaombwe
Siyo ushauri sahihi maana jamaa wa TRA wamepewa mamlaka ya kuchana parcel na kujiridhisha thamani halisi ya mzigo.
Pia Kumbuka siyo wote wanaouliza humu ni waagizaji maana wengine ni watu wa TRA wanataka kusoma mchezo ulivyo so hizo sarakasi zako zitawaponza wengi humu
 
65 Reactions
Reply
Back
Top Bottom