Jifunze jinsi ya ku-unlock Tecno Y3+

Jifunze jinsi ya ku-unlock Tecno Y3+

Mkuu tafadhari njoo na unlock ya voda
Voda zipo very secured , zinatoka kwa unlock code tu ambayo utaipat kwa vifaa maalumu kama NCK box (ninayo)

Hiyo hutumia imei na jina la mtandao wako kucalculate code toka kweny server.

Nipm kwa ofa ya 5500 utapata code zako instantly
 
Bro techno H3+ imegoma kabisa kusoma sim 1 naweza pata msaada mkuu
 
Bro techno H3+ imegoma kabisa kusoma sim 1 naweza pata msaada mkuu
Kutosoma line inategemea vitu vifuatavyo

Je imegoma kusoma vipi, a-haipandishi mtandao(inakua emergency tu)?
B-haisomi kabisaaa na hata line haionekani kwenye simu.?

1,labda terminal za slot ya line zimekatika(vibati) pia ubovu wa hardware kwa upande wa sim slot.

2,imei related problem kwenye receiver ya line 1, (software problems)

3, ubovu wa line (hili naamin si tatizo kwako)

4,settings tu(naamin hili si lako pia)

Nijibu maswali mawili ya juu
 
naomba msaada wako simu yangu tecno m3 nikiingia facebook inazima halafu pia display inachezacheza ukifungua kitu inatokea kitu kingine, video haiplay kwenye instagram na facebook
 
naomba msaada wako simu yangu tecno m3 nikiingia facebook inazima halafu pia display inachezacheza ukifungua kitu inatokea kitu kingine, video haiplay kwenye instagram na facebook

Note:
1,kujizima ukifungua facebook-inaweza huwa ni software related problem. (jaribu kuclear data za facebook kwenye settings--aplication)
Iwapo bado inazingua, jaribu ku-uninstall alaf restart then install upya.
Ikikataa fanya SYSTEM RESTORE/RESET.

2, Screen kufungua vitu vingine (sijakuelewa vizur ila note yafuatayo)
A-touch screen imekufa. Ndio mana ukitouch haigus exact point ulipogusa.
B-inaweza ikawa virus action , yaan ukifungua data ukifungua app hoi basi inafeli inafungua mavitu ya ajabu

Swali: je hiyo simu yako ilishaanza kujidownload mavitu ukifngua data tu..? Ushwahi kuona app ambazo hujaweka wewe kwenye simu yako?

3, Kioo kucheza cheza(display kucheza cheza) ni dalili mbaya kwa display ya simu yako. Ni dalili ya kifo cha display

Swali: uliitia maji simu? Je uliidondosha ikaangukia angle kwa mshindo mkubwa? Je tatizo lilianzaje?

4, video kutoplay fb na insta hakikisha yafuatayo
A-una internet bundle(nna uhakika hili si tatizo kwako)
B-mtandao upo vizur(nna uhakika hili si tatizo kwako)

Cha kufanya clear data kama nilivoeleza stage 1, ikikataa uninstall na uinstall tena.

Fanya hayo alaf rudi na majibu, pia ningependa kupata screen shot za app drawer yako. Na screen shot ya kila tatizo lako.


Phillz unlock
 
nashukuru ngoja nifanye hivyo nitakujulisha
Pia jaribu kudownload manually older version za facebook na Instagram
Nilisoma hapa kidogo Facebook causing phone to freeze/crash/reboot - Android Forums at AndroidCentral.com

Nikagundua pia update ya facebook inazingua,

Hapa utapata version zote za fb, cha kufanya download version ya nyuma, yaan download ya kama mwez wa 11 au 12 mwkaa jana

Facebook 109.0.0.15.71 (48723175) Latest APK Download - AndroidAPKsFree
 
Hiyo app inafanyakazi kwenye Y3+ peke yake au simu yoyote ya android inaweza ikafanya kazi, mfano kuna Huawei Y3II ni locked on airtel only.
 
Hiyo app inafanyakazi kwenye Y3+ peke yake au simu yoyote ya android inaweza ikafanya kazi, mfano kuna Huawei Y3II ni locked on airtel only.
Hiyo ni y3+ pekee, kwenye kesi ya y3II ni issue inayohitajo simu iwepo physicall na inahitaji kutimia vifaa proffesion kama NCK BOX ,SIGMA BOX
 
Back
Top Bottom