Jifunze jinsi ya ku-unlock Tecno Y3+

Jifunze jinsi ya ku-unlock Tecno Y3+

Hiyo ni y3+ pekee, kwenye kesi ya y3II ni issue inayohitajo simu iwepo physicall na inahitaji kutimia vifaa proffesion kama NCK BOX ,SIGMA BOX
Huwez kutoa somo humu LA kutumia NCL BOX,SIGNA BOX ili tupate maujanja hayo?
 
Naweza to ila tatizo hizo box lazima muwe nazo,

Alaf kuna vile vitu basic lazika uvijue kabla ya kujifunza unlocking.

Box zina bei na kwa mtu wa kawaida kumiliki bila kuifanyia kazi kibiashara ni hasara.

Labda utumie cracked version, (zipo outdated-simu nyingi zitakushinda japo zipo utawin)

Visit :9jarom.com for cracked boxes
 
Habari Zenu wana Jf,

Nimekua nikipokea request nyingi sana Pm watu wakiniomba niwaelekeze jinsi ya ku unlock simu ya TECNO Y3+.

Zaidi ya 20 nilishawaelekeza na wamefanikiwa 1000% , haihitaji Pc.

Tuache maneno. Twende na muziki sasa.

Mahitaji:
1,TECNO Y3+
2,INTERNET BUNDLE (Just 2mb)

Fanya yafutayo.

1, kweny hiyo simu ingia PLAYSTORE,alaf download MTK ENGINEERING MODE au MTK ENGINEERING MODE SHORTCUT.

2,Ikishamaliza kuinstall ifungue hiyo Mtk engineering,

3,itakuja menu yenye Tabs. Angalia neno TELEPHONY

4,Shusha kuelekea chini ya Telephony mpaka upate neno SIMME LOCK au SIM LOCK alaf chagua hapo

5,ukimaliza step 4 utaona neno NETWORK PERSONALIZATION, fungua hapo alaf utaona UNLOCK/NETWORK UNLOCK ,

6,Ukiselect network unlock simu itaomba unlock codes , tumia 12345678

7,ukishamaliza hapo bonyeza button ya back mara moja, Utaona PERMANENTLY UNLOCK, chagua hiyo.

8, restart simu yako na kila kitu kitakua poa.

Enjooooooy

Huduma ya unlock codes ya simu za voda ipo, najitahid kukamilisha mfumo wa remote unlock ili niwafikie weny simu zenye security ngumu

Wenu mtiifu

PHILLZ UNLOCK SERVICE
a
 
TCR.watakudaka ndg maana hii issu kwa sasa ni mbaya
 
Nisaidie mm nna tabelt one ya samsing nikidanlod imo na inagoma nifanyaje mkuu
 
Hiyo ni unlock kwa zile simu zeny network lock, yan simu ambayo imezuiliwa kutumia mtandao mmoja, kmaa zile zinauzwa na tigo,

Baada ya kufanya hivyo utakuwa huru kutumia line yoyote
ok sitafuta files zangu
Habari Zenu wana Jf,

Nimekua nikipokea request nyingi sana Pm watu wakiniomba niwaelekeze jinsi ya ku unlock simu ya TECNO Y3+.

Zaidi ya 20 nilishawaelekeza na wamefanikiwa 1000% , haihitaji Pc.

Tuache maneno. Twende na muziki sasa.

Mahitaji:
1,TECNO Y3+
2,INTERNET BUNDLE (Just 2mb)

Fanya yafutayo.

1, kweny hiyo simu ingia PLAYSTORE,alaf download MTK ENGINEERING MODE au MTK ENGINEERING MODE SHORTCUT.

2,Ikishamaliza kuinstall ifungue hiyo Mtk engineering,

3,itakuja menu yenye Tabs. Angalia neno TELEPHONY

4,Shusha kuelekea chini ya Telephony mpaka upate neno SIMME LOCK au SIM LOCK alaf chagua hapo

5,ukimaliza step 4 utaona neno NETWORK PERSONALIZATION, fungua hapo alaf utaona UNLOCK/NETWORK UNLOCK ,

6,Ukiselect network unlock simu itaomba unlock codes , tumia 12345678

7,ukishamaliza hapo bonyeza button ya back mara moja, Utaona PERMANENTLY UNLOCK, chagua hiyo.

8, restart simu yako na kila kitu kitakua poa.

Enjooooooy

Huduma ya unlock codes ya simu za voda ipo, najitahid kukamilisha mfumo wa remote unlock ili niwafikie weny simu zenye security ngumu

Wenu mtiifu

PHILLZ UNLOCK SERVICE
 
nashukuru nimefanikiwa nielekeze jinsi ya kuiflash kabisa hii simu kuna wakati inakua na kama virus hiv inatetemeka tetemeka
 
swali ni je nkishamaliza nkidelete hii software inarudi kama zamani? naweza kuitumia pia kwa simu nyingine za tecno
 
Procedure hii ina apply kwa tecno y3+

Na ukiona kote ni pako hivuo basi simu yako haina locki,
Kuna mtu alifuta app ya em sim me lock akidhani ataiunlock ndio maana haina hiyo option na bado lock imebaki vipi nikitafuta mtu mwenye box anaweza kuitoa hiyo lock au kuna njia nyingine yoyote ushauri wako please.
 
Unlock by flashing.

Au upate mwenye box kama nck afanye direct unlock
 
swali ni je nkishamaliza nkidelete hii software inarudi kama zamani? naweza kuitumia pia kwa simu nyingine za tecno
Hiyo method ni kwa ajili ya tecno y3+ pekee. Japo zpo simu nyingine. Pia hata ukiifuta haiwez kurud lock
 
swali ni je nkishamaliza nkidelete hii software inarudi kama zamani? naweza kuitumia pia kwa simu nyingine za tecno
Hiyo method ni kwa ajili ya tecno y3+ pekee. Japo zpo simu nyingine. Pia hata ukiifuta haiwez kurud lock
 
nashukuru nimefanikiwa nielekeze jinsi ya kuiflash kabisa hii simu kuna wakati inakua na kama virus hiv inatetemeka tetemeka
Ku upgrade/update hiyo simu

SearcH GOOGLE: how to flash mtk devices using sp flash tool
 
Back
Top Bottom