Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,316
- 677
hongera sana
Military Intelligence Section 6 (MI6)Hivi inaitwa M16 au MI6?
Na mm nafahamu hivyo ila bado humu watu wanaandika M16!!!Military Intelligence Section 6 (MI6)
Huenda hawajui, si unajua walivyowavivu kutafuta, kila kitu mpaka awekewe wapiNa mm nafahamu hivyo ila bado humu watu wanaandika M16!!!
Acha kujishauwa nawew, kwan ungesema source nni THE BOLD ungepungukiwa nn..Inasikitisha saana
Kaiba hajui lolote kuhusiana na hayo maswala.Acha kujishauwa nawew, kwan ungesema source nni THE BOLD ungepungukiwa nn..
Achen kupenda makuu msiyostahili..
Cha mtu chake..