Wakuu,
Taarifa zilizotufikia zinadai kuwa ndugu yetu (ambaye pia alikuwa JF member) bwana Amani Jidulamabambasi Nzugile hayuko nasi.
Inasemekana katuondoka mchana wa leo. Taarifa kwa kina tutazipata soon
Wakuu kukosekana kwa huyu jembe kumeifilisi UDP kabisa. Mzee Cheyo yuko kwenye Terminal Care kazi ya "kuwajaza watanzania mahela" imemshinda!
JIDU, Rudi Mwanawane Ufufue Chama hiki (UDP)!
mkuu huyu bwana ameshatangulia mbele ya haki, vipi unamuomba marehemu arudi? R.I.P Jidu
Mbona hata Nyerere wanaomba arudi!