Jidulamabambasi is no more!

Jidulamabambasi is no more!

Nami naungana na mawazo na fikra zote za ndugu wa marehemu popote pale walipo katika kipindi hiki cha majonzi.

RIP
 
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwa. Tupo pamoja na familia yake wakati huu wa majonzi ya kuondokewa na mpedwa wao.
 
We have lost one of our fellow Tanzanians with the longest names.My condolences to his family.
 
Apumzike kwa amani amen. His name was unique, though.
 
sote ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea. poleni waifiwa na mungu awepeni subira katika kipindi hiki kigumu.
 
RIP,Kamanda. Nilitegemea kuwa safari hii angeingia mjengoni baada ya kumng'oa Shibuda Maswa!! Anyway let us remember that our life is finite and thank our God for everything.
 
pumzika kwa amani mzee wangu Jidulamabambasi
 
...I always appreciated his long and colourful name; Jidulamabambasi. RIP
 
RIP Aman Mussa Nzugile J, Marehemu tulikuwa wote Op Program ya chama kule makutupora. Alijulikana sana hata nje ya kombania yake.
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana libarikiwe

Poleni sana wafiwa, Mungu awapitishe salama katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo.

Amen.
 
Poleni sana wafiwa wote.
Tunamuombea kwa Mungu ampumzishe kwa amani. Amina.
 
Wakuu mlio karibu huko Maswa mtuhabarishe, what went wrong kwa mtanzania huyu! Niyapi matokeo ya jimbo hilo? Mungu amlaze mahali pema
 
Rip Jidu, na poleni saaaana wafiwa, Mungu wetu awape faraja ya pkee katika kipindi hiki kigumu!
 
MUNGU MLAZE PEMA PEPONI.

Nampa pole kaka yake Yusuph na wadogo wake wote
 
Back
Top Bottom