jicho....

jicho....

rebeca

Senior Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
190
Reaction score
27
IMG_8654.JPG
cheki huyo mama aliyevaa bazeee akimkata jicho mbowe,lol
 
huyo mama nilimwona jicho hilo balaaaaaa,na huo mdomo mmmmhh! cjui ni nani huyu,
 
hapa ni wapi na lini? mama yupo inlove huyo hamjui body language nyinyi
 
duu hapo ukigeuka gafla lazima mwana mama adondoke kwa jinsi alivyojiachia aiseee...
 
Atakuwa kasema huyu anataka uraisi na malienge yake...
 
Niliangalia pengine nikasema kwasababu ya msiba ngoja nisiseme. Inaonekana Mbowe yupo serious kuna jambo anasema! Lukuvi anacheka (habari ya msiba hapo) na huyo mama kakata jicho na sura ngumu kweli
 
mama yupo inlove huyo hamjui body language nyinyi
Labda kama sarcasm inserted lakini kwa jinsi alivyokunja mabega yake kwa ndani na mikono yake ilivyojifunga (boundary) ni dhahiri kuwa hafurahishwi na anachokiona/kisikia. Mtu anaweza kudanganya facial expression (tabasamu au kununa) kwasababu toka utoto wengi hufundishwa kutabasamu mbele za watu au kwenye kamera lakini si rahisi kudanganya other body parts (torso) unless uwe umejifunza kudanganya (mfano corn artists, wanasheria, majasusi n.k)
 
kama mama wa sheria na katiba hivi au macho yanidanganya
 
kakada ka ccccccccccm hako kamama nux hapo kanataka kupasuka coz of hatrage
 
Hii inaelekea kama vile ilikuwa kwenye kamati ya sheria na katiba; huyu mama mwenye jicho la nuksi kamamzenj vile!!
 
Ni kwamba alichokuwa anakiongea mbowe kilikuwa kinaelezea mtu ambaye hakufanya jambo jema kwa hiyo huyo mama akawa anamchukia mtu anayezungumziwa kwenye stori ya Mbowe. Kama alikuwa hammind mbowe angekaa mbali bana. Otherwise naungana na ST.Ivugha kuwa yuko in love.
 
Back
Top Bottom