Jicho ndo habari ya mjini

Jicho ndo habari ya mjini

Kwa ujumla mwili wote wa mwanamke unavutia, macho,mziwa, uso, midomo, mashavu, shingo,nywele, kiuno, hipsi, miguu, kucha, mpangilio wa meno mdomoni, vidole vya miguu, suti nk, nk.

Lakini mimi nafsi yangu hasa inapenda mwanamke mwenye mkia.
 
mimi navutiwa na hawa
1. mwenye vichunusi vifuani au mgongoni
2. mwenye meno mawili ya juu yaliyo mbele yawe makubwa na yameshikana
3. vidole virefu na mikono laini
4. mweupe
5. miguu minene kiasi
6. chura mdogo
7. urefu wa washani
 
U Mdogo wake sheikh Kipozeo
 
Mi Mwanya,, na Au mweusi kabisa,, meno Meupee pe,, Na MaHaps kwangu rahaaaaa
 
mimi navutiwa na hawa
1. mwenye vichunusi vifuani au mgongoni
2. mwenye meno mawili ya juu yaliyo mbele yawe makubwa na yameshikana
3. vidole virefu na mikono laini
4. mweupe
5. miguu minene kiasi
6. chura mdogo
7. urefu wa washani

Urefu wa washani ndo nin mkuu
 
mimi navutiwa na hawa
1. mwenye vichunusi vifuani au mgongoni
2. mwenye meno mawili ya juu yaliyo mbele yawe makubwa na yameshikana
3. vidole virefu na mikono laini
4. mweupe
5. miguu minene kiasi
6. chura mdogo
7. urefu wa washani
Sifa hizo Mule Mule kama demu wangu. Naogopa tu kuweka picha hapa
 
Kwa ujumla mwili wote wa mwanamke unavutia, macho,mziwa, uso, midomo, mashavu, shingo,nywele, kiuno, hipsi, miguu, kucha, mpangilio wa meno mdomoni, vidole vya miguu, suti nk, nk.

Lakini mimi nafsi yangu hasa inapenda mwanamke mwenye mkia.
Oya suti ni nn mkuu.
 
Back
Top Bottom