Nimegundua wengi wenu humu akili zenu nyepesiiii
Yaani great thinker kweli unashindwa kung'amua nini nimemaanisha ktk hiyo comment
Haya sasa ni hivi maana ya hiyo comment ni kwamba kwa sasa hilo ni janga wanaume na wanawake wanaendekeza huo uozo kwasababu tajwa kwenye mada husika.......tunaenda motoni ( sodoma na gomora tumeizidi) wema na waovu wote tutaenda motoni......
Tuombeane
Haufanyi, sifanyi tukemee wanaofanya na tusiingie huko mimi kutofanya lkn nikahamasisha au kunyamazabado nitaenda motoni
Muwe mnatafakarisha hiyo mivichwa yenu mmenikera kama nini shenzi
Sent using
Jamii Forums mobile app