Jicho ndio chanzo cha usaliti katika mahusiano

Jicho ndio chanzo cha usaliti katika mahusiano

Wewe tu muungwana kuna wanaume nao wanapenda hyo michezo vibaya mnooo yaani sijui tu!tena mtu anakuambia kabisaa umpe nyuma!

Sent using Jamii Forums mobile app
ani jicho limekuwa habari ya mjini tena sasa hivi wanawake ndo wanataka , hizi porns sio poa kabisa mtu anaangalia then anataka kupractise , ushauri ukiona mpenzi,mke,mume anatizama sana porns za jicho kaa nae mbali au kw atahadhari kubwaaaaaa
 
Serious hii kitu inaongezeka kwa kasi sana sana tuu, nambaya zaidi ,wanawake ndio wakwanza kuomba izi mambo.

Mitandao ya kijamii namagroup yao yanazidi kuwapoteza,, nao siku izi wamekua watu wakujaribu.

Hapa mwanaume atalaumiwa??

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 
hahahhah mkuu ati jichooo tafsida nzuri kweliii nimependa ila jicho ndo habari ya mjini
juzi nimeulizwa nipewe nini nitulie nkakausha . nkaambiw akama ni jicho niseme as long as nkipewa ntamwacha mama coco wangu nkasema noooo kubw ana matusi juu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ani jicho limekuwa habari ya mjini tena sasa hivi wanawake ndo wanataka , hizi porns sio poa kabisa mtu anaangalia then anataka kupractise , ushauri ukiona mpenzi,mke,mume anatizama sana porns za jicho kaa nae mbali au kw atahadhari kubwaaaaaa
Kuomba Mungu yasikukute kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majukwaa ya JF yananuka mavi ukienda habari na hoja mchanganyiko kuna mapunga yanatetea ushoga, ukirudi MMU kuna thread zaidi ya 3 za mitaro, acheni kuupa promo huu ushetani.

Ngoja niende zangu Intelligence
 
Back
Top Bottom