Jicho ndio chanzo cha usaliti katika mahusiano

Jicho ndio chanzo cha usaliti katika mahusiano

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,743
Reaction score
8,802
Habari wanajamvi?
Habari kutoka mitaani zinatanabaisha kwamba kuna ongezako la wanaume kupenda kula jicho ilihali wanawake nao idadi yao ikiongezeka kwa kupenda kuliwa jicho.

Ongezeko hilo la utuaji jicho unachochewa zaidi na mitandao ya ngono ambayo imeshamiri kwa hivi sasa nchini pia kuoneshana upendo wa dhati (inaaminika kwamba mwanamke akimpa jicho mpenzi wake ni ishara ys ya pendo la dhati) ni kiasi gani ongeko la matumizi ya jicho katika jamii, na utoaji wa adhabu pindi wenza wagombanapo (mwanaume huaomba apewe jicho kumaliza mgogoro ambao mwanamke ndio alikuwa na makosa).

Wasichana wa umri wa kati hasa wanavyuo na wanawake wenye miswambwanda na wanaojiuza inaonekana wanaongoza kwa matumizi ya jicho tatizo kubwa linajitokeza ni kwamba wenza ni mara chache sana kupeana jicho kutokana na ukweli kwamba wanaweka wanaotoa jicho wakugusiwa suala hilo wenza wao huruka futi 700 wakijidai kwamba hawaujui mchezo huo na hawajawahi kufanya toka wazaliwe.

Sasa hapo mwanaume mpenda jicho huamua kutafuta mbadala pembeni ili kutoa kiu yake ya kula jicho na wakati huo huo mwanamke nae hutafuta kibenten chake cha kumsugua jicho ili kukidhi haja zake habari zilizotufikia ambazo bado hazijathibitshwa inaonekana kwamba muhadhiri mmoja wa kike wa chuo kimoja wapo nchini alikuwa na mgogoro na mume wake, hadi mume kuamua kumnulia gari mke wake huyo ili kumaliza mgogoro huo huku akitegaa kamera ndani ya gari hilo.

Baada ya mwezi kupita akienda kukagua kamera hiyo nusura apate strock baada ya kumkuta mkewe akilia kimahaba mazito huku akiliwa jicho na mmoja wa mapofesa chuoni hapo hata hivyo alipiga konde moyo na kumuuliza mkewe ambaye alikana na kuseama si yeye na kupelekea kutengena huku mama mkwe akimtaka mwanawe amrejee mkewe huyo kwani ana heshima na anasifa zote zinazotakiwa kwa mwanamke. Pia inasemekana mauji mengi baina ya wandndoa hutokea mara nyingi sana pale ambapo mwanaume anapogundua mkewe analiwa jicho na watu wa pembeni ikiwa yeye alinyiwa. Sasa kwa hali hii sijui tuelekea wapi jamani?
 
Shetani alipoanza kushindana na Mungu aliwajengea wanadamu usasa.. Ulimwengu wetu umeingiliwa na huyu pepo na ndio maana vitendo ya usodoma na ugomora vinaongelewa kama ndiyo mtindo wa maisha.. Mwana wa Mungu shika imani yako maana fainali ndiyo sasa na hamna pengine ya kusahihisha makosa...
 
hahahhah mkuu ati jichooo tafsida nzuri kweliii nimependa ila jicho ndo habari ya mjini
juzi nimeulizwa nipewe nini nitulie nkakausha . nkaambiw akama ni jicho niseme as long as nkipewa ntamwacha mama coco wangu nkasema noooo kubw ana matusi juu
Aiseehh!wadada wa mjini sasa hivi wana shida Mungu asimame na sis wengine tutakufa na ushamba wetu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom