Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona




Wametumika vibaya.
Na walaaniwe kwa kutaka kuliingizia taifa matatizo
 
Hata Arumeru Mashariki walijinadi hivyo!! tumeshawazoea na tambo zenu!!
 
Njoo wew,mama yako, watoto wako,naapa ccm hamtakaa mchukue arusha mjini.....tupo hapa na tutakuwepo hapa.
 
sahau ndugu yangu Lema, Godbless ni mbunge wetu jimbo la Arusha kama uko usingizini unaota ngoja nikushtue uamke. hapa ni arusha tumechoshwa na siasa mbovu hatuko tayari kuleta mafisadi watutawale hawajui machungu yetu. Lema ni Mbunge wetu. God Chosen one. Yuko mapumziko ya muda tu anarudi bungeni kututetea walalahoi.

Peopleeeeeeeeeeeeeeees Power
 
Good analysis,:smile-big: sio kitu cha kudharauliwa.
Ni vema kufikiria the other side of the coin.

CDM wafanyie kazi.
 
Lema jembe lazima arudi tena awamu hii kwa kishindo kuliko awali
 
wafungue hiyo kesi ya fidia wananch wapenda mageuzi Tanzania nzima tutachanga hela na kuilipa ndani ya siku 3.
 


Kwa kuongezea hoja yako: Hata ule mgogoro wake na baadhi ya madiwani unaweza kuchangia mkuu.
 
jimbo la lema hilo
morani hawatakuelewa na lema hawezi kununulika,
nenda tu kwa lusinde.
 
Naona ccm wanataka kuleta ushabiki wa kisiasa CHADEMA Arusha, Naomba huo ushabiki uupeleke kwenu CCM
 
ndugu zangu hapa ni sehemu ambayo CCM inaingia tena majaribuni na hata Chadema wakiweka jiwe litashinda watu wa Arusha ninavyowafahamu hawawezi kukubali kuanguswa.ok angalia ni kiasi gani serikali itapoteza katika kusimamia uchaguzi, kusimamia usalama na ndo ujue hali itakuwaje siku ya uchaguzi
 
Kwa analysis yako kama wazee hawamtaki then vijana watamchagua Lema!
Kumbuka Vijana ni zaidi ya 50% ya wapiga kura na wazee hawataenda piga kura wakihofia fujo!
 
Hongereni sana....mmeishinda nguvu yao ya umma, mmemshinda mungu wao wanayesema yupo juu!!!

jitekenyeni alafu chekeni wenyewe, ila CCM hapa arusha mtapasahau milele.
Kwa taarifa za jikoni Lema hakati rufaa na ndiyo mgombea wa CDM tena.
Tunamuaibisha shetani kwenye ballot kwa mara ya pili.
 
arusha ni ya chadema tuu hatawaje kina nani? hata aje mzee wa kaya ngoma nzito hapa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…