Jicho la ng'ombe wa KIZANZIBARI

Jicho la ng'ombe wa KIZANZIBARI

429115_454294377970603_1923749374_n.jpg

Kipole yuwaja!
 
hahaha....

Ndugu zetu wa pande hizo wao huwa hawataki kujichosha hata katika kuongea.

Na wala hili la kutotaka kujichosha si kwa wale wanaofikia uamuzi bila kufanya utafiti? Hicho si kitumbatu wala si kimafia.
 
Wabara muna matatizo ya akili nyie hamkawi kuwachokoza Wa Zanzibar kwani Ng'ombe mpaka atoke Zanzibar tu? basi huko bara kuna Kitomoto wa kumwaga................ N'gombe wa bara huyu hapa chini................

27066-swine.jpg
 
Hawa wanaitwa, Mbuzi wa Kikatoliki Mkuu.

Kama wale anaofuga yule mama Mkuu wa Wilaya ya Igunga waliyemvua Hijjab wana Chadema.

Blondy ana breeze baharini.

cow-beach.jpg

Wabara muna matatizo ya akili nyie hamkawi kuwachokoza Wa Zanzibar kwani Ng'ombe mpaka atoke Zanzibar tu? basi huko bara kuna Kitomoto wa kumwaga................ N'gombe wa bara huyu hapa chini................

27066-swine.jpg
 
Hawa wanaitwa, Mbuzi wa Kikatoliki Mkuu.

Kama wale anaofuga yule mama Mkuu wa Wilaya ya Igunga waliyemvua Hijjab wana Chadema.
Mkuu Sikonge swadakta hawa ni mbuzi wa Kikatoliki ni kweli kabisa au tunaweza kusema kuwa ni kwa jina lingine mnyama wa Taifa hahahahahah umenichekesha sana mkuu Sikonge sijacheka tangu asubuhi mpaka saa hizi umenichekesha na huyu mbuzi wa Kikatoliki. haahahahhahah :third:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom