Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,597
...lakini pia ili kufikia malengo ya millenia ifikapo mwaka 2025.pia tupo katika mchakato na upembuzi yakinifu ili tasnia hii iwe kipaumbele chetu kama taifa.
...lakini pia ili kufikia malengo ya millenia ifikapo mwaka 2025.pia tupo katika mchakato na upembuzi yakinifu ili tasnia hii iwe kipaumbele chetu kama taifa.
hapa magamba kwa kukariri akijibu tu :A S 465::israel:wee!Labda wasiwe wameuliza swali na majembe.mfano "mhe waziri kwakua umetumia kila lililo ndani ya uwezo wako ktk kutatua mgogoro wa madaktar na serikali lakini bado umeonekana kushindwa hasa pale ulipotamka kuwa 'liwalo na liwe'na hadi kufikia tukio la kinyama lilomkuta Dr Ulimboka,Je huoni kuwa wakati umefika wa wewe kuchukua maamuzi magumu ya kujiuzulu nyazifa ya uwaziri mkuu?"
wee!Labda wasiwe wameuliza swali na majembe.mfano "mhe waziri kwakua umetumia kila lililo ndani ya uwezo wako ktk kutatua mgogoro wa madaktar na serikali lakini bado umeonekana kushindwa hasa pale ulipotamka kuwa 'liwalo na liwe'na hadi kufikia tukio la kinyama lilomkuta Dr Ulimboka,Je huoni kuwa wakati umefika wa wewe kuchukua maamuzi magumu ya kujiuzulu nyazifa ya uwaziri mkuu?"
Zaidi:
"Tuna mkakati kabambe..."

...wafadhili wameonyesha nia kufadhili mradi huu...
...lakini pia ili kufikia malengo ya millenia ifikapo mwaka 2025.
'waheshiwa tuvumiliane'
".....mpango mkakati umekamilika, sasa serikali inafanya mazungumzo na wafadhili, tunaomba wananchi wavute subira..."
"Kwa kuwa hili ni swala la kitaalamu zaidi, tutaunda kamati maalumu kushughulikia hili swala na muda ukifika majibu yatatolewa." Hapo imetoka!Hao ni mawaziri wa MAGAMBA
mh wakat ndio sasa hiyo lugha unayoitumia sio nzuri nakuheshimu sana,,,,
Hilo Swali halina sijui mpango kabambe, serikali imejipanga, tunafanya majadiliano na wafadhili, tume imeundwa, serikali imeanza kulishughulikia swala hili kikamilifu, wala wananchi wasubiri matunda kabambe kutokana na taswila ya mradi huo.....swali hilo ni lazima Spika aingilie kati kumuokoa anayeulizwa ambaye ni Pinda...
Bila ya hivyo jamaa atalia tena