Jibu maarufu la Serikali bungeni

Jibu maarufu la Serikali bungeni

'suala hili linazungumzika na wizara yangu italifanyia kazi. Ninachokuomba mh mbunge tukitoka hapa tuwasiliane tuone ni jinsi gani tunaweza kulipatia ufumbuzi jambo hili, naamini tutalipatia ufumbuzi'.
 
Nimedondoa hii kutoka Hansards, hapo kwenye red inafurahisha sana:
....lakini
- tunataka kulihakikishia Bunge lako Tukufu kwamba kazi hiyo itafanyika na itafanyika kikweli,
- matokeo tutakuja
kuyaonyesha hapa katika Bunge lako Tukufu.
- Tunaomba tu tupewe muda
kwa sababu hakuna kitu kinachofanywa mara moja lakini matokeo tutakuja kuyaonyesha hapa katika Bunge lako Tukufu.
 
SWALI LA NYONGEZA
Mhe Waziri,pamoja na heshima uliyonipa,unaonaje ukawazadia wananchi moja ya uongozi uliotukuka kwa kuonesha uwajibikaji wa kuachia ngazi,ikiwa ni juu ya majibu yako ya "liwalo na liwe"?
Mh Liss.... NAKUHESHIMU SANA Ohhhooo!!!!
 
tumeshaanza ktk wilaya mbalimbali ikiwemo kwa mheshimiwa zito
 
Serikali ya chama cha mapinduzi imeiweka hiyo barabara katika mpango wa miaka mitatu ijayo.
 
mi,nadhani waheshimiwa wabunge tuvumiliane kidogo ,serikali iko na wananchi
 
...... Tatizo ni ufinyu wa bajeti.

......Ukosefu wa fedha ndio unaotukwamisha. Ila nia ipo na taratibu zote zimekamilika
 
Back
Top Bottom