jibu la kati ya Me na Ke wakiwa na hamu ya kugegedana na wakifanya hivyo nan anae pata raha zaid

kbosho

JF-Expert Member
Jun 4, 2012
13,029
6,559
hellow wana Jf..
leo nikiwa kwenye Pharmacy flan hivi hapa jijini dsm, nime wakuta kina mama wakipiga stors,
baada ya mda kidogo akaja Mwanaume akiwa na Mwanamke
waka nunuwa condom na kuondoka..

Moja wa wale kina mama akamuliza mwenzake kwa sauti ya chini, Hivi kati ya mwanamke na mwanaume wakiwa na hamu ya kugegedana, na wakigegedana nani anae pata raha zaid kati yao?... Mwenzake alimjibu kwa sauti ya Juu.... hivi wewe!! Sikio likiwa lina washa uki lichokonowa na Kidole raha unaiskia wapi?! kwenye sikio au kwenye kidole?!!.... Hapo ilibidi wateja wote tucheke...hivyo nika note kitu pale. Huenda ndio jibu kweli...
je ni kweli?...
 
Sasa mbona mfano wa huyo mama hauna uhusiano, mana sikio na kidole ni vya same person, angetoa mfano wa kitu kinachofanywa na mtu mmoja kwa mwingine.
 
Tuacheni utani wote watakuwa wanapata raha,hakuna wakujitoa jasho huku hamna raha
 
raha wanapata wote
ukitaka kujua kwamba kila mtu anautamu wa kujitegemea nenda kafanye 'mastabesheni'
 
hellow wana Jf..
leo nikiwa kwenye Pharmacy flan hivi hapa jijini dsm, nime wakuta kina mama wakipiga stors,
baada ya mda kidogo akaja Mwanaume akiwa na Mwanamke
waka nunuwa condom na kuondoka..

Moja wa wale kina mama akamuliza mwenzake kwa sauti ya chini, Hivi kati ya mwanamke na mwanaume wakiwa na hamu ya kugegedana, na wakigegedana nani anae pata raha zaid kati yao?... Mwenzake alimjibu kwa sauti ya Juu.... hivi wewe!! Sikio likiwa lina washa uki lichokonowa na Kidole raha unaiskia wapi?! kwenye sikio au kwenye kidole?!!.... Hapo ilibidi wateja wote tucheke...hivyo nika note kitu pale. Huenda ndio jibu kweli...
je ni kweli?...

Kwenye mapenzi kati ya mwanamke na mwanamume huwezi jua nani anapata raha kuliko mwingine tokana na kwamba ili ujue raha anayopata mwenzako ni shurti ujibadilishe uwe yeye (yaani kama wewe ni Ke basi ujibadili uwe Me) kitu amabacho hakiwezekani.
 
Maswali mengine magumu kujibu, jaribu kuwa na jinsi zote mbili uone raha zote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom