Jibu la I AM SINGLE


When you advice your friend to go to lonely hearts dating site it simply means you're both rejects and nobody around you can admire you from your looks and character hence you end up dating online. I don't see why you're so bitter when you come across rejects like yourselves.
So you better put up or shut up.
Genuine people and nice looking girls don't date online. Be real girl
 
Mrembo by Nature kuna rafiki yangu mmoja aliuliza kuwa facebook wanaume wengi mno wapo single, afu wanawake wengi mno wapo in-relation, sasa swali lake hawa wanawake wapo kwenye relation na nani!? Manake wanaume wapo single?

Interesting. Kweli tunaambiwa kuwa wanawake wako wengi zaidi ya wanaume.

Halafu tunaambiwa wanaume wengi wanadai eti wapo single.

Hapo hapo, wanawake wengi wanadai wako kwenye mahusiano.

An obvious question ni hawa wanawake wako kwenye mahusiano na watu agani?

Watakuwa wako kwenye mahusiano na zombies kama Kongosho?
 
Last edited by a moderator:
Siku ingine uelewe hoja ndo ukomment,mbona povu linakutoka???mmojawapo nini kati ya waongo,kojoa ukalale
 
married bachelor....lol

Na wale wanaosema ni "complicated" wawekwe kundi gani?

“It’s complicated" inaweza kuwa na maana kuwa “something is going on, but I don’t want to say what it is”

Inaweza pia kuwa na maana kuwa “something is going on, but I don’t know what it is” lol.

Halafu kama ni complicated, inakuwa complicated for my own benefit, for my friends, or for the persons involved in said complicated state of affairs?
 
Yani hayo ni maswali ya msingi kabisa! Na hayo yana tatiza kabisa! Wanawake wengi wako in relaation!

 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT
Yani hapo ndipo pana shangaza wengi! Wana majibu mawili either its complicated or in relation ship! Alaf wanaume wako single!
 
Reactions: EMT
You seem to understand nothing on the issue my dear, calm down and read between lines!

Stick on topic!

 
Complicated ina maana hayo mahusiano hayana uhakika..it means mtu anaweza kuingia mahusiano mapya any time
 
You seem to understand nothing on the issue my dear, calm down and read between lines!

Stick on topic!

You sound like a bitter old man, maybe you should consider swallowing some pills (eg prozac) and calm yourself down.
 

Ni ukweli unaoshangaza sana
 
Last edited by a moderator:
Ok, thanx am proud to be old!
Let me take my pills!

But don forget to calm down my dear, this is free -stress zone.

Your welcome! Lets get back to topic my dear!

You sound like a bitter old man, maybe you should consider swallowing some pills (eg prozac) and calm yourself down.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…