Saafi sana ndivyo inavyotakiwa
Nakwann Uigize au ufake sura ?? Picha ?? Maisha? Tena kwa mtu unayejua mtakutana tu LAZIMA mjuane ?? .
Sema hii mitandao bana, huwaga nawasoma tu ,nikishasoma post zamtu zilizopita namkadiria tu najua uyu Anajipa Uungu.
Tena hasa humu JF ambako kila kitu nifake ,mpaka ukutane namtu ndo utamjua vzur.
Kuna ule uzi wa Wafanyakazi kulilia nyongeza za mishara na kupandishwa madaraja ,au nyuzi za Watu wenye vyeti feki, ukisoma kwa makini koment za mule utajikuta unahitimisha kwa kusema ohooooo kumbe nipo ndani ya jamii ya maigizo.... Sasa huo ni mfano mojawapo.
Watu waache kuigiza na kufake, wajikubali ivo ivo.... Unakuja kutana na Putin , ndio unakutana na kijana yuleyule wa JF.
Ndio maana Sitaki kufake hata tabia yang, nataka mtu anielewe tu kua Putin sometime ni Akili tamu...sometimes ni Akili chungu...... Hapo ukinikubali poaaa, usiponikubali poa pia.