Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,402
- 88,873
Nimeachaa [emoji23][emoji23]Ujue unajisema mstari wa mwisho wa dada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeachaa [emoji23][emoji23]Ujue unajisema mstari wa mwisho wa dada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakujua mie mtu mwenye ze dudu yake mjini
Sana tu kuna watu wanapenda kujifananisha vibaya mnooMkuje jamani mnaitwa huku msiojiamini
watu hawataki kujikubali na maisha yao inabid wafake
Nimeachaa [emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji16]we acha ugomviSana tu kuna watu wanapenda kujifananisha vibaya mnoo
Tumia tecno kama Mimi tu hapa jf naingia habari sipati nilivyo ndivyo utakavyonikuta
Kwa Kujiamin tu sikuwezMkuje jamani mnaitwa huku msiojiamini
Huo sasa ndo udhaifu mkubwa mnoo!kwa nini ujihisi his I vibayaKuna watu hata ukikohoa wanahisi unakohoa kisa yeye yupo hilo eneo. Kuna watu kujiamini ni sifuri hata umsifie kiasi gani.
Sema hapo kwa kutuma picha za watu ngoja nanihii nimwambie aache huo mchezo
iyo vita yake akijua sasa[emoji3][emoji16]ze dudu ukiniomba picha natuma ya shunie
unawaambia watu wajiamini huku PM yako umefunga mamayooo kweli wewe[emoji3][emoji16][emoji16]atatuma ya mzigua bibi huyo
Bi cheka kijana[emoji3][emoji3]bi Cheka
Wanaumbuka vibaya mnoo!
Hiyo avatar naenda kuwekea sura yq shunie baasi huyo ni miye tena