Kweli kabisaa usemayoUsishangae sana tukifake.
Ndo maana humu JF watu wenye Verified IDs wanakimbiaga mijadala, angalia account za wanasiasa kama kina Zitto (huyu ndo kaanza tena kupost humu, ila hachangii discussions), Mwigulu, Makonda, Lema, Dr Slaa, Prof Tibaijuka, Yericko (huyu sijui kama ni mwanasiasa au la).
So tukishakufahamu unakuta watu wana expose weakness zako kiasi kwamba hata faraja uliyoitegemea humu JF huipati.
Kwani ni wababa wote wenye sura ngumu, my douta afanane Tu na mimi, nitafurahi balaa.Yaani Mimi ni second version of my dad...!!yaani copy and paste mpk raha!
Na kauzuri nnako japo sio cha kutisha[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]
Kauzur unakooo tu mamy jisifie mwenyewe mm mzur bhn face mashaaaalah alafu sisi vibonge sura tumejaliwaaaaaaaaaaaaYaani Mimi ni second version of my dad...!!yaani copy and paste mpk raha!
Na kauzuri nnako japo sio cha kutisha[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]
Kweli kabisaa usemayo
Maana kuna muda unakuta watu wanakuattack kupitia thread uliyoanzisha au kuchangia!
Hizo zipo mbona
Maisha bila unaafiki hayaendi kakaa!Na discussions humu zinadumu, urafiki unadumu, chitchat zinadumu kwa sababu ya u-Fake.
Angalia mahali kama FB, group whatsapp na Insta tunaishia kusifiana hata kama ni kinafiki, hakuna kuambiana ukweli kwa sababu tunafahamiana na tunaogopa kugombana, kununiana nk.
Hata humu JF utakuta tukishafahamiana tunaogopana, najikuta kama wewe umeandika pumba ziwezi kukuponda straight ili tu usininunie.
Maisha bila unaafiki hayaendi kakaa!
Kuna watu hata ukikohoa wanahisi unakohoa kisa yeye yupo hilo eneo. Kuna watu kujiamini ni sifuri hata umsifie kiasi gani.
Sema hapo kwa kutuma picha za watu ngoja nanihii nimwambie aache huo mchezo
Conclusion: siyo kila ku-fake ni kutojiamini.
Kufake kwingine ni kwa ajili ya kuendelea kulinda mahusiano.
Kila unavozid kusema ukweli humu jf ndo unazid kichukiwa,,,, mkuu jifunze kusema uongoo basiii,,,,, unafiki lazima uwepoNa discussions humu zinadumu, urafiki unadumu, chitchat zinadumu kwa sababu ya u-Fake.
Angalia mahali kama FB, group whatsapp na Insta tunaishia kusifiana hata kama ni kinafiki, hakuna kuambiana ukweli kwa sababu tunafahamiana na tunaogopa kugombana, kununiana nk.
Hata humu JF utakuta tukishafahamiana tunaogopana, najikuta kama wewe umeandika pumba ziwezi kukuponda straight ili tu usininunie.
Sio vizuri kabisaHii kitu hii nakazia kuna ntu akikohoaa tu. Akiangushaa kitu kimakosa utasikiaa kafanya vile ili wamuone... Daah hii kitu sio poa kuishi kwa kujishuku sio vizuri
Kufake kungine kwa kweli hapana,unaomba picha yangu natuma ya mzigua hivi siku tukimeet inakuaje?[emoji3][emoji3][emoji16]Conclusion: siyo kila ku-fake ni kutojiamini.
Kufake kwingine ni kwa ajili ya kuendelea kulinda mahusiano.
Khaaaa!!?
Teh, kama unajiamini nirushie picha yako basi
Ako ka avatar kako ni we we?Kauzur unakooo tu mamy jisifie mwenyewe mm mzur bhn face mashaaaalah alafu sisi vibonge sura tumejaliwaaaaaaaaaaaa
Ni fake avatarAko ka avatar kako ni we we?