Kibada KigamboninMkuu naomba exactly adress nina mzigo tayari
Habari ya leo mkuu, naweza kupata number yako ? Nataka nikutumie mzigo tukubaliane kuhusu beiJe una uwezo wa kupata tairi mbovu? Chakavu? Kubwa kwa ndogo?
Je unaweza kupata mipira ya matairi ama kamba zake?
Je unaweza kupata masalia yoyote ya tairi au hata chenga zitokanazo na kuchenjua tairi?
Je unaweza kupata soli mbovu za viatu?
Kiasi chochote kwa tani ...malipo si hapa..
Jiajiri kupitia hizo malighafi... Ni kama hizi hapa
Nicheki mimi tu settle terms!View attachment 1903231View attachment 1903232View attachment 1903234View attachment 1903233View attachment 1903235
Nimekutumia PMHabari ya leo mkuu, naweza kupata number yako ? Nataka nikutumie mzigo tukubaliane kuhusu bei
Sawa mkuu nashukuru
mkuu mshana tunaomba majibu ya hili,na mie nina mzigo wa matairi ya malori nataka nilete mzigoSalaam chief, nimeleta mzigo wa matairi makubwa ya malori lakini watu wa mapokezi wametuambia hawachukui tena matairi makubwa au tukitaka tuwauzie kwa bei pungufu kuliko uliotutajia
Sent from my LG-D690 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kwasasa mzigo umejaa mno na usitishaji umetangazwa kwenye kundi la WhatsApp je hujajisajili humo?Salaam chief, nimeleta mzigo wa matairi makubwa ya malori lakini watu wa mapokezi wametuambia hawachukui tena matairi makubwa au tukitaka tuwauzie kwa bei pungufu kuliko uliotutajia
Sent from my LG-D690 using JamiiForums mobile app
Tunaomba link ya group la WhatsApp tuweze kupata hizi updates mkuuNi kweli kwasasa mzigo umejaa mno na usitishaji umetangazwa kwenye kundi la WhatsApp je hujajisajili humo?View attachment 1933830View attachment 1933831
MSHANA JR UNGELIWEKA OFFICIAL CONTACT WATU WAMWAGE WAPI MZIGOPoa takucheki
Tuliouza tunauziwa tena ili tutafute pa kuuzia tena,endless cicleMzigo wa black carbon dust upo wa kutosha sana karibuniView attachment 1946773
Ulileta kwetu? Mbona sisi hatuna ghala? Ulitapeliwaje? Hebu funguka kwa manufaa ya wengiHii issue imekaa kitapeli mtu unaingia gharama kuandaa mzigo unawafikidhia kwenye ghala lao wanaanza kukupa stori
Sent from my LG-D690 using JamiiForums mobile app