Jiajiri kupitia hizo malighafi

Hongera zako wewe uliyepata kikubwa ...lakini hata hao waokota mako po nao ni binadamu na kupitia hayo makopo wanayookota familia sao zinaishi, watoto wanasoma na kupata mahitaji ya msingi
Ni kupitia hayo makopo unayoyadharau ndio yametengeneza baadhi ya vitu unavyomiliki..si vema kudharau kazi za wengine, maisha hayana formula
Msamehe bure mkuu. Sio wote wamewahi kupitia mitihani ya hii dunia hadi wakakosa njia ya kutokea na kutumia option yoyote mbele ya macho yao ili kusurvive.
 
Msamehe bure mkuu. Sio wote wamewahi kupitia mitihani ya hii dunia hadi wakakosa njia ya kutokea na kutumia option yoyote mbele ya macho yao ili kusurvive.
Ni kweli kabisa kaka ... Mungu ampe rehema ya kuwa na tafakuri kwa haya aliyonena
Hiyo million 2.8 anayoidharau , manunuzi na usafiri the most ni Kama 1.5 na ni kazi ya siku 10 tu hiyo ukiwa eneo lenye malighafi ya kutosha..faida ya 1.4 ni mshahara mkubwa kabisa wa mtu tena kwa mwezi
 
Ngoja tuwashtue ndugu,jamaa na marafiki wachangamkie hiyo fursa, ni fursa nzuri tu,aliyepitia Vita ya kutoboa ktk maisha 'from zero' kabisa anajua thamani ya kupata pesa hata Kama ni Mia moja...
 
Zote hizi ni dili
IMG_20210825_154818_033.jpg
IMG_20210825_154816_107.jpg
 
Back
Top Bottom