GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,506
- 5,955
Sawa chief.Sisi hatuagizi bali tunapokea mzigo sasa popote utakapoupata kama itakulipa lete
Sawa chief.Sisi hatuagizi bali tunapokea mzigo sasa popote utakapoupata kama itakulipa lete
Tani moja ya tairi ni kontena ngapi?Tani ni kati elfu 70 mpaka laki 1
Kwa hiyo nikiwa na contena zima la futi 20 Nina milioni mbili na laki naneTani moja ni sawa na kilo elfu moja.. Container ya 20ft inabeba tani 28
Hahahah huu ni upuuzi, haina tofauti na kuokota makopoKwa hiyo nikiwa na contena zima la futi 20 Nina milioni mbili na laki nane
Hongera zako wewe uliyepata kikubwa ...lakini hata hao waokota mako po nao ni binadamu na kupitia hayo makopo wanayookota familia sao zinaishi, watoto wanasoma na kupata mahitaji ya msingiHahahah huu ni upuuzi, haina tofauti na kuokota makopo