Musa anasema kuwa kuna urahisi wa kupata habari kutoka ccm kuliko vyama vingine!
Max anavilaumu baadhi ya vyama kutojiandaa vizuri hasa katka kutoa habari!
Isaac anaulizwa kuhusu kupatikana kwa habari kama kuna upendeleo, anavipongeza vyombo vya habari kuwa vimefanya kazi kubwa katka kutoa habari zaidi ya uchaguzi ulopita!
kwa umbumbumbu wako umeshindwa kutambua kwamba JF is a home of great thinkers and not chadema chapter...kwa umbumbumbu wake maxence ameshindwa kuwaambia watanzania kuwa hii jamii ni ya wachadema....! na kipindi kimeshaisha...!
Anaongelea vyama vikubwa kama ccm kuwa vyombo vyaweza kuvipa nafasi kubwa, anapotaja Chadema Musa anacheka!
Bro, nadhani unweza kuwa very wrongUkweli ni kwamba asilimia kubwa ya members wa JF hawapo Tanzania,wako nje ya nchi na mengi yanayozungumzwa na kujadiliwa ndani ya JF huishia humu humu JF....JF ni darasa tosha sana kwa wa Tanzania,tatizo ni kwamba haijulikani....Nikiwa Tanzania nilijaribu kuwauliza baadhi ya watu tu kuhusu JF wengi wanasema hawaijui,sana sana wanachojua ni facebook,Michuzi,yahoo n.k................JF ijitangaze sasa............Inaweza kuwa na mchango mkubwa sana kwa Taifa letu mbeleni
Jamani Hii ni Kutoka EA Radio!
Jamani Hii ni Kutoka EA Radio!
kwa umbumbumbu wake maxence ameshindwa kuwaambia watanzania kuwa hii jamii ni ya wachadema....! na kipindi kimeshaisha...!
Jamani Hii ni Kutoka EA Radio!
Jamani Hii ni Kutoka EA Radio!
Jamani Hii ni Kutoka EA Radio!
Bro, nadhani unweza kuwa very wrong
Data wanazo mods adn admins but i can bet my shoes kwamba wanaJF walio tanzania ni wengi zaidi and it could be up to 70%
I hope we will get clarification on this
Asilimia 67.2 ya watembeleaji wa JF ni kutoka Tanzania
Wamemaliza mahojiano ila kwa ujumla Max nimempenda kwa uobjectivity wake!