Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,254
Ni wazi kuwa post ambayo ilitumwa ililenga ku-stress suala zima la maadili yanayoendana na uongozi. Tofauti na pale kwenye thread inapoelezewa kuwa ilipelekwa. hata hivyo thread ikiwa innapelekwa mahala fulani ambapo tayari ilishajadiliwa inaoneshwa kuwa iko moved lakini hilo alikufanyika pindi ilipoondolewa thread hiyo kwani nilikuwa nimelog in na nilikuwa naangalia.
kama hayo hayatoshi..,naona mmeamua kunizushia kwa makusudi na kuniwekea hila katika kitu ambacho sikukisema wala kukifanya hili mjustify kile mnachotaka kukifanya. waswahili wanasema ukitaka kumuua mbwa basi mpe jina baya,naona hili linataka kutokea hapa kwenye JF. Ninauhakika kuwa IP adress yangu mnayo na hivyo mnajua kuwa hilo la kutumia username PADRI sijawahi kulifanya wala kukashifu kanisa. kuna wakati watu wanajengewa zengwe fulani hili kuhakikisha kuwa kitu fulani kinafanyika bila kupingwa au ni tahadhari kwa mtu huyo ili asirudie kufanya kitu fulani alichokifanya hapo awali kilichopelekea kuzushiwa zengwe hilo. kama kuna ushahidi kuwa mimi nilitumia jina PADRI na nikalichafua kanisa, ungetolewa na kufanyiwa analysis kwa njia ya kiugwana na kielimu ili kumaliza jambo hili. kwanini mnajaribu kuzusha vitu ambavyo havipo...!
Mkuu, uki admit kuwa ulifanya makosa kutoa lawama thread zako zimefutwa na JF kwa vile wewe si Chadema litakuwa jambo la busara. Na ukiomba msamaha kwa hilo utakuwa umeonesha hekima yako. Mambo mengine nadhani ni malalamiko dhidi ya kanuni za uendeshaji tu, swala ambalo ni subjective (i.e. JF ingelikuwa bora zaidi au ingelikuwa imeshachemsha).