F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Aug 29, 2014 #2 Niwataje?
Mafikizolo JF-Expert Member Joined May 8, 2014 Posts 3,487 Reaction score 1,628 Aug 29, 2014 #3 Wataje tu bahna usiogope farkhina said: Niwataje? Click to expand...
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Aug 29, 2014 #4 Mafikizolo said: Wataje tu bahna usiogope Click to expand... Nianzie wapi?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Aug 29, 2014 Thread starter #5 farkhina said: Nianzie wapi? Click to expand... Juu kwenda chini kushoto kulia au vice versa
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Aug 29, 2014 #6 Picha ya juu kutoka kulia ni Mr Rocky, watu8 na NAPITA. Haya vipi na hizo miwani za jua na usiku huo? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Picha ya juu kutoka kulia ni Mr Rocky, watu8 na NAPITA. Haya vipi na hizo miwani za jua na usiku huo?
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Aug 29, 2014 #7 Hiyo ya pili naogopa kuwataja maana huyo wa kushoto wapili bonge la mtu nsije pigwa makofi....
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Aug 29, 2014 Thread starter #8 farkhina said: Picha ya juu kutoka kulia ni Mr Rocky, watu8 na NAPITA. Haya vipi na hizo miwani za jua na usiku huo? Click to expand... Kuna mtu usipomtaja farkhina atanuna Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
farkhina said: Picha ya juu kutoka kulia ni Mr Rocky, watu8 na NAPITA. Haya vipi na hizo miwani za jua na usiku huo? Click to expand... Kuna mtu usipomtaja farkhina atanuna
suka chile Member Joined Feb 20, 2013 Posts 99 Reaction score 38 Aug 29, 2014 #9 farkhina said: Picha ya juu kutoka kulia ni Mr Rocky, watu8 na NAPITA. Haya vipi na hizo miwani za jua na usiku huo? Click to expand... ha!ha!ha! leo ngoja wakiamka......
farkhina said: Picha ya juu kutoka kulia ni Mr Rocky, watu8 na NAPITA. Haya vipi na hizo miwani za jua na usiku huo? Click to expand... ha!ha!ha! leo ngoja wakiamka......
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Aug 29, 2014 #10 mshana jr said: Kuna mtu usipomtaja farkhina atanuna Click to expand... Si mpaka awemo kwenye picha? Itakua yeye ndio camera man Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mshana jr said: Kuna mtu usipomtaja farkhina atanuna Click to expand... Si mpaka awemo kwenye picha? Itakua yeye ndio camera man
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Aug 29, 2014 #11 suka chile said: ha!ha!ha! leo ngoja wakiamka...... Click to expand... Hawajikani katu mana suti za ukweli
suka chile said: ha!ha!ha! leo ngoja wakiamka...... Click to expand... Hawajikani katu mana suti za ukweli
Mafikizolo JF-Expert Member Joined May 8, 2014 Posts 3,487 Reaction score 1,628 Aug 29, 2014 #12 atausiogope kupigwa makofi mie bodigadi wako nipo we taja 2 usiwe na wasi wasie! farkhina said: Hiyo ya pili naogopa kuwataja maana huyo wa kushoto wapili bonge nsije pigwa makofi.... Click to expand...
atausiogope kupigwa makofi mie bodigadi wako nipo we taja 2 usiwe na wasi wasie! farkhina said: Hiyo ya pili naogopa kuwataja maana huyo wa kushoto wapili bonge nsije pigwa makofi.... Click to expand...
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Aug 29, 2014 #13 farkhina said: Picha ya juu kutoka kulia ni Mr Rocky, watu8 na NAPITA. Haya vipi na hizo miwani za jua na usiku huo? Click to expand... farkhina kuna mtu anaundugu na hao walioko picha ya kwanza maana nimeona wana allergy na kitu fulani hivi... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
farkhina said: Picha ya juu kutoka kulia ni Mr Rocky, watu8 na NAPITA. Haya vipi na hizo miwani za jua na usiku huo? Click to expand... farkhina kuna mtu anaundugu na hao walioko picha ya kwanza maana nimeona wana allergy na kitu fulani hivi...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Aug 29, 2014 Thread starter #14 bysange said: farkhina kuna mtu anaundugu na hao walioko picha ya kwanza maana nimeona wana allergy na kitu fulani hivi... Click to expand... Hahahahaaaa bysange usizunguke mbuyu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
bysange said: farkhina kuna mtu anaundugu na hao walioko picha ya kwanza maana nimeona wana allergy na kitu fulani hivi... Click to expand... Hahahahaaaa bysange usizunguke mbuyu
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Aug 29, 2014 #15 mshana jr said: Hahahahaaaa bysange usizunguke mbuyu Click to expand... umeona nini mshana jr nimemuuliza farkhina ngoja aje kwanza Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mshana jr said: Hahahahaaaa bysange usizunguke mbuyu Click to expand... umeona nini mshana jr nimemuuliza farkhina ngoja aje kwanza
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,545 Reaction score 30,107 Aug 29, 2014 #16 Dahh...Nimejiona...Halafu kama camera imenipendelea..
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Aug 29, 2014 Thread starter #17 Otorong'ong'o said: Dahh...Nimejiona...Halafu kama camera imenipendelea.. Click to expand... Hapana umezidisha mapouda
Otorong'ong'o said: Dahh...Nimejiona...Halafu kama camera imenipendelea.. Click to expand... Hapana umezidisha mapouda
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Aug 29, 2014 #18 Ha!ha! Siku si nyingi nitaweka picha yangu hapa maana naona wiki hii zima nafananishwa na watu tofauti tofauti....
Ha!ha! Siku si nyingi nitaweka picha yangu hapa maana naona wiki hii zima nafananishwa na watu tofauti tofauti....
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Aug 29, 2014 Thread starter #19 NAPITA said: Ha!ha! Siku si nyingi nitaweka picha yangu hapa maana naona wiki hii zima nafananishwa na watu tofauti tofauti.... Click to expand... Ukiona hivyo jua kuna kitu si bure
NAPITA said: Ha!ha! Siku si nyingi nitaweka picha yangu hapa maana naona wiki hii zima nafananishwa na watu tofauti tofauti.... Click to expand... Ukiona hivyo jua kuna kitu si bure
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,694 Aug 29, 2014 #20 farkhina said: Picha ya juu kutoka kulia ni Mr Rocky, watu8 na NAPITA. Haya vipi na hizo miwani za jua na usiku huo? Click to expand... Hahaha!!! hivi kumbe bado waikumbuka yangu sura eenh
farkhina said: Picha ya juu kutoka kulia ni Mr Rocky, watu8 na NAPITA. Haya vipi na hizo miwani za jua na usiku huo? Click to expand... Hahaha!!! hivi kumbe bado waikumbuka yangu sura eenh