jf_uchumba......Nimepeleka Posa kwa Mamito Arabela..

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Hapa Naomba vijana Muwe wavumilivu huku nikisubiria Majibu yangu..hata washenga niliowatuma siwaamini,Kwani mrembo mwenyewe mgeni hapa janvini...
...please wait....
 
Hebu nipe salam ulizowapa. Yani nishawishi

niliwaambia waje wakupe salaam zangu...kwani umeuchoma mtima wangu....toka ile siku ya kwanza nimekuona kwenye kijiji cha utambulisho...nilijawa na furaha sana ...na moyo uka kupokea moja kwa moja....basi nikachukua jukumu la kuwaagiza wazee waje lakini nahisi kwa ukarimu wako na urembo wako wamekuogopa....waliona aibu kutaja kazi yangu ya utangazaji kwamba mngewatoa nduki...naona mpk sasa hawajafika kwenu....mtima wangu...unakuhitajia sana kwa maisha mpka pumzi ya mwisho....
 
Shemejiiiii...
 
Back
Top Bottom