zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Naomba ung'arishe viati vyangu!
nataka niweke kilaka kwenye yeboyebo yangu.. inawezkana
unaweza nishonea viatu vyangu kwa bluetooth
Viati mi sivijui..
nataka niweke kilaka kwenye yeboyebo yangu.. inawezkana
Sorry ni viatu! Unaweza kuvifata?
Nimefungua kijiwe jamani cha....
>kung'arisha viatu.
>kushona viatu.
>kushöna Ndara,
>kushona viatu vya kike na kiume,
Karibuni sana......punguzo kwa wanajf..
Za alasiri hubby?
naomba unibrashie skuna zangu! kesho nina mkutano. . .
nitakuletea iyo hapo juu
Mh mume wangu
My wife napg mzigo hapa...kazi hamna