Kingdom_man
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 405
- 463
Kiranga, source ni ulipoipata news/story au Tip!. Na sio aliyepiga/aliyeandika.Good press for JF no doubt, lakini.
JF ndiyo ilipiga picha?
Ninavyojua mimi attribution ya picha ni kwa mpigapicha au shirika lilomuajiri mpiga picha, sasa isije kuwa BBC wamekwapua picha online bila makubaliano na yeyote, wakaogopa kuiweka kwenye site yao bila ku attribute source, wakachagua njia rahisi kuweka nembo ya "JamiiForums"
33 people inaweza isiwe breaking news kwao, wamezoea kurusha massive killings. Despite all odds, watz tuna sababu nyingi sana za kumshukuru Mingu, majanga hayatuandami kama wenzetu.
Good press for JF no doubt, lakini.
JF ndiyo ilipiga picha?
Ninavyojua mimi attribution ya picha ni kwa mpigapicha au shirika lilomuajiri mpiga picha, sasa isije kuwa BBC wamekwapua picha online bila makubaliano na yeyote, wakaogopa kuiweka kwenye site yao bila ku attribute source, wakachagua njia rahisi kuweka nembo ya "JamiiForums"
BBC wamepata ruhusa kutumia picha? Mpigapicha nani?
Viva JF! viva JF members!!Jamii Forum 4 Life!
Alitaka iandikwe Pasco wa JF au Kiranga wa JF.Kiranga, source ni ulipoipata news/story au Tip!. Na sio aliyepiga/aliyeandika.
Ownership ya published picture/story ina change hands after publication inakuwa ni mali ya chombo kilichoitumia.
Wewe Kiranga, ukiandika story kwa mfano:
"Rais Kikwete ni Kiongozi Legelege asiye na uwezo wa kichukua maamuzi magumu dhidi ya Ufisadi ndio maana Ufisadi inazidi Kutamalaki Tanzania!"
Daily News likiitumia hiyo story na byline yako, ikiwa quoted popote watasema Daily News lasema "Kikwete rais Legelege...", hawatasema Kiranga ameripoti Kikwete rais legelege!.
Kama BBC wamei quote jf, hii inamaanisha jf ni distinguished source ya breaking news which is a plus to jf!.
Tunapopata mafanikio kama haya, ni wajibu wetu sisi jf tupunguze viroja na kuongeza hoja za msingi when it comes to breaking news!.
itakuwa safi sana JF mkiiacha kutupiga ban