Jf Wallpaper contest: Ahsante kwa zawadi

Jf Wallpaper contest: Ahsante kwa zawadi

UncleJoe

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
624
Reaction score
509
Jana nimepata zawadi yangu mapema kabla ya muda uliotangazwa baada ya kuonekana mwamko ni mdogo...

Nashukuru uongozi wa JamiiForums kwa zawadi ya muda wa maongezi wenye thamani ya shilingi 50,000/=

Kwakweli mwezi ujao nitashiriki tena. Nawaambia wengine pia washiriki pale fursa inapotokea.

mimi, Joe Nyandigira
 
Last edited by a moderator:

.
Ni kweli unacho kizungumza joe ?
Au ni utani?
.
.
 
Last edited by a moderator:
ni kweli kabisaaa

.
Ooooh congrats!
.
But i don't know how votes have been conducted!
.
And muamko mdogo wanini wanao uzungumzia if it's Designers au wapigaji kula?
.
But if it's Robot himself decided to choose you'r arts, some one with clear mind can't understand it! And he would assume as it's not FAIR!
.
I Quote JamiiForums
.
Wakuu,
Nipende kuanzisha hii contest kwa
wakali wa graphics ambao
watafanikiwa kuja na wallpaper
nzuri ambayo wadau wataikubali
kuwa inashika #1 kuliko nyingine
kwa mwezi Februari.
Endapo watajitokeza zaidi ya
mmoja ambao wataonekana kuwa-
impress wateja;
basi zawadi
itaweza kutolewa kwa wote
watatu!
.
There after what the hell?
.
But CONGRATS joe
ROGER THAT
let us leave pie as pie!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom