Kitukizuri
Member
- Apr 25, 2011
- 21
- 1
Thats right
pole sanaNilijiunga FB lakini baada yakuona ujinga mwingi nilijitoa...sikubahatika kuona faida yoyote ukilinganisha na JF...
Niliposema FB imejaa usanii na ujinga mwingi sana sana uzinzi watu wakasema ooh kule kuna biashara,masoko na bla bla nyiiingi sana leo tena nashangaa siwaoni hapa!!! FB sio kabisa tena mimi demu wangu nimemwambia jitoe na hakuna kwenda huku kama na mm pia nisivyokaa huko!!! JF ni sawa na Kigoma ni mwisho wa reli hakuna tena!!!
Jamani labda mi ndio mshamba kabisa. Nilijiunga na facebook tangu mwaka juzi, huko naona kumejaa ujingaujinga na usharabaro, kila mtu anakutaka. Hapa Jf sina muda mrefu lakini nina furaha na amani, napata changamoto mbalimbali, najifunza mambo mengi na yenye manufaa.
Wadada wenzangu wao wako busy na facebook, ukiwauliza wanaenjoy nini wanasema kuchat, ukiwaambia habari za JF wanasema we Ambilikile kweli (mshamba).
Sasa mshamba sijui ni mimi au wao ambao hawabenefit kitu. Jf is a place to be, thats why niko online kanzia asubuhi hadi usiku mzito.
I am the luckiest one kuwa miongoni mwa wana wa hii familia kubwa ya JAMII FORUMS

Kaka umeadimika tangu enzi zileeee....................JF ni raha ile kiroho mbaya. Long live JF
Sasa hapo tatizo liko wapi?!Nashangaa kweli watu mnapokaa na kuanza kujifanya kwamba nyie ndo mnaofanya mambo ya maana zaidi.Kila mtu anafanya kile kinachoukosha moyo wake...kama ni kujadili siasa haya...kama ni kusikiliza bongo flava haya...kama ni kulala kutwa haya...kama ni kuongelea mapenzi haya...kama ni kupiga picha haya...kama ni kuringishiana vitu huko fb nayo poa tu ilimradi hamkeri mtu mwingine kwa lazima/makusudi.Wewe kama hupendi kitu au unaona hakina maana sio lazima na watu wengine wafuate mkumbo wako.Acha kila mtu afurahie uhuru wake kadiri ya uwezo na matakwa yake.duh facebook bana,it's ridiculous,nilikutana nayo hii nikiwa na peruz na kudadis! Facebook Mobile
Lizzy bby mbona mkali! Kwenye red hicho ndo nilichokifanya bana,siingilii starehe ya mtu, nimesimama pembeni nakubaki nashangaa tu vinavyoendelea. Mfano ni hiyo picha,unapiga miguu yako afu unanionyesha,i mean come. To me it's ridiculous! Me niliingia huko yakanishinda aise,Chix & sharo mils ndo wamejaa. Mwingine ukienda lazima yakushinde,to me JF is all in 1 package! By tha way nakutafuta niku poke uni add ili niku inbox kule hata ckupat nan vile?Sasa hapo tatizo liko wapi?!Nashangaa kweli watu mnapokaa na kuanza kujifanya kwamba nyie ndo mnaofanya mambo ya maana zaidi.Kila mtu anafanya kile kinachoukosha moyo wake...kama ni kujadili siasa haya...kama ni kusikiliza bongo flava haya...kama ni kulala kutwa haya...kama ni kuongelea mapenzi haya...kama ni kupiga picha haya...kama ni kuringishiana vitu huko fb nayo poa tu ilimradi hamkeri mtu mwingine kwa lazima/makusudi.Wewe kama hupendi kitu au unaona hakina maana sio lazima na watu wengine wafuate mkumbo wako.Acha kila mtu afurahie uhuru wake kadiri ya uwezo na matakwa yake.
mkuu unamaanisha unachokisema hapo kwenye habar?Acheni kuzingua. fb ina raha yake. ofcoarse huku news zipo ila jf we make friends na pia hata washikaji wa long time unawapata. kama jf isingekua udaku na fithna watu wangekuwa wanatumia majina yao ya ukweli. afu hata facebook news zipo zote sio za bongo tu. cnn, bbc na organisation kibao zipo fb sio jf. ukweli ukweli 2.