The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,170
- 20,202
Mwamba hana tofauti na Deo Kisandu mwanajamvi ambaye alikuwa haishiwi Na vituko jamvini.
Mufti kuku The Infinity
Nyau de adriz
Mufti kuku The Infinity
Nyau de adriz
Uko sahihi kabisa.Deo alikuwa mwalimu alitumika kifungo Miaka kadhaa gerezani.
Alipona, anaona aibu kaamua kujificha Gambosh.Kisandu yuko wapi siku hizi
hahahaa sasa huko si ndo watamkandika mapepo mapyaAlipona, anaona aibu kaamua kujificha Gambosh.
Ukisikia 👇
Hahaha 😂Ukisikia 👇
wakiitwa wazurii sijui nawe utatoka uso kama mbuzi wa shughuli usojua kupodoka,
Unachek nn we mrombo fake 😂 😂Hahaha 😂
Mi ni mrombo halisi niliyezaliwa pale mkuu karibu na shule ya secondaryUnachek nn we mrombo fake 😂 😂
Habari yafo mekuMi ni mrombo halisi niliyezaliwa pale mkuu karibu na shule ya secondary
Shimboni shafooo!Habari yafo meku
Hapana sio, habari yafo meku, shimbony shafo meku, huoni vitu viwili tofautiShimboni shafooo!