JF Top Posters Of All Time!

Cha msingi ni kuwa na post nyingi au kuwa na post ambazo ziko constructive?
But I believe katika hizo post zao constructive posts zitakuwa nyingi!
Anyway big up,we need more from u especially constructive ideas as great thinkers.
Asante
 
Ukijumlisha IDs zangu zote sikamatiki kabisa. Ninazidi posts 60,000:smile-big:

lazima nikupiku kwa njia yoyote ile,ngoja niajili kijana nimpe id yangu alushe vitu 24hrs/day,namlipa kilo kwa mwezi
 
Rutashubanyuma inabidi uone aibu kidogo kwa kuchangia JF,posting zote hizo lakini no consideration ya at least running costs-come on man
 
Last edited by a moderator:
Nyongeza; na tuliotuma post chache saaana pia tuwemo kwenye ushindani, naamini nitaibuka mshindi teh! teh! teh!
 
Ungeongeza-based on quantity and not quality. You can get the quality analysis from number of likes. Just my opinion. Nothing personal!
 
Hongera sana Nyani Ngabu wewe ni true legend bana

Wengine labda itokee tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…